-
Pakistan: Hatutaendelea kuwa kibaraka wa Marekani
Dec 07, 2018 11:03Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan ameeleza namna nchi hiyo inavyojuta kwa namna ilivyoamiliana vizuri na Marekani huko nyuma, akisisitiza kuwa Islamabad haitaendelea kuwa kibaraka wa Washington.
-
Kongamano la "Rehma kwa Walimwengu" latoa sisitizo kwa Waislamu kuhuisha Uislamu wa Asili
Nov 23, 2018 01:08Taarifa ya mwishoni mwa kongamano la siku mbili lililofanyika mjini Islamabad, Pakistan kwa anuani ya "Rehma kwa Walimwengu" limetoa sisitizo juu ya ulazima wa Waislamu duniani kushikamana na Uislamu wa asili kwa mujibu wa mafundisho ya Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Wapakistani waendelea kuandamana kupinga kuachiwa huru mwanamke aliyevunjia heshima matukufu ya Kiislamu
Nov 01, 2018 12:49Maelfu ya watu nchini Pakistan kwa siku ya pili mtawalia hii leo wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu Islamabad wakilalamikia kuachiwa huru mwanamke mmoja raia wa nchi hiyo aliyeyavunjia heshima matukufu ya Kiislamu.
-
Utayari wa maulamaa wa Pakistan wa kusaidia mchakato wa amani nchini Afghanistan
Oct 07, 2018 03:27Maulamaa wa Pakistan wametangaza utayari wao wa kusaidia kuhitimisha vita nchini Afghanistan na kurejesha amani ya kudumu katika nchi hiyo.
-
Maulamaa wa Pakistan na Afghanistan wafikia mwafaka wa kufanya kikao cha pamoja ili kukomesha vita Afghanistan
Oct 04, 2018 04:50Maulamaa wa Pakistan na Afghanistan wamefikia mwafaka juu ya kufanya kikao cha pamoja kwa madhumuni ya kuhitimisha vita na mapigano nchini Afghanistan.
-
Mazungumzo ya Waziri Mkuu wa Pakistan na viongozi wa Saudi Arabia
Sep 21, 2018 03:23Katika safari yake nchini Saudi Arabia Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan amekutana na kufanya mazungumzo na Mfalme Salman bin Abdul Aziz pamoja na Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo.
-
Kulaaniwa jinai za Saudi Arabia nchini Yemen na Waziri wa Haki za Binadamu wa Pakistan
Sep 12, 2018 02:31Waziri wa Haki za Binadamu wa Pakistan amelaani mauaji ya kizazi ya Saudi Arabia dhidi ya wananchi madhulumu wa Yemen.
-
Nipigie baada ya dakika 30: Waziri Mkuu wa Pakistan amtaka Rais wa Ufaransa angojee kwenye laini ya simu
Sep 01, 2018 21:51Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alitakiwa angojee kwa muda wa nusu saa kuzungumza na Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan, baada ya kumpigia simu bila taarifa wakati Waziri Mkuu huyo wa Pakistan akiwa kwenye kikao na shakhsia waandamizi wa vyombo vya habari vya nchi hiyo.
-
Mazungumzo ya Dakta Zarif na Waziri Mkuu wa Pakistan
Aug 31, 2018 23:40Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Imrah Khan Waziri Mkuu wa Pakistan aliyechaguliwa hivi karibuni.
-
Zarif: Hatuna mpaka wowote katika kustawisha uhusiano wetu na Pakistan
Aug 31, 2018 09:25Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haina mpaka wowote katika kukuza na kustawisha uhusiano wake na jirani yake Pakistan.