-
Safari ya Zarif mjini Islamabad; kufunguliwa ukurasa mpya wa uhusiano wa Iran na Pakistan
Aug 31, 2018 08:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameelekea nchini Pakistan kwa safari rasmi ya siku mbili akiwa mwanadiplomasia wa mwanzo wa kigeni kutembelea nchi hiyo na kukutana kwa mazungumzo na maafisa mbalimbali wa serikali mpya chini ya uwaziri mkuu wa Imran Khan.
-
Maandamano ya kilomita 400 yafanyika Pakistan kulaani kuvunjiwa heshima Bwana Mtume Muhammad SAW
Aug 30, 2018 03:26"Harakati ya Tumeitika Ewe Mjumbe wa Allah" ya nchini Pakistan inayoongozwa na Allamah Khadim Hussein Razavi jana ilianza maandamano yake kutoka mji wa Lahore kuelekea Islamabad, mji mkuu wa nchi hiyo ambayo yanafanyika kwa lengo la kulaani kuvunjiwa heshima Bwana Mtume Muhammad SAW nchini Uholanzi.
-
Bunge la Pakistan lalaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad (saw)
Aug 27, 2018 23:13Wawakilishi wa bunge la seneti nchini Pakistan wametoa taarifa ya pamoja ya kulaani kitendo cha chama chenye misimamo ya chuki dhidi ya Uislamu cha Uhuru nchini Uholanzi cha kuendesha mashindano ya katuni dhidi ya Mtukufu Mtume Muhammad (saw).
-
Kuchaguliwa Imran Khan kuwa Waziri Mkuu mpya wa Pakistan
Aug 20, 2018 03:26Kwa kupata kura 176 za wabunge wa bunge la taifa la Pakistan, Imran Khan, Mkuu wa Chama cha Tehreek-e-Insaf cha Pakistan ametangazwa kuwa Waziri Mkuu wa 22 wa nchi hiyo.
-
Imran Khan aapishwa kama waziri mkuu mpya wa Pakistan
Aug 18, 2018 02:52Nyota wa zamani wa mchezo wa cricket nchini Pakistan amechukua nafasi ya waziri mkuu mpya wa nchi hiyo kufuatia idhini ya bunge.
-
Shauku ya Pakistan ya kustawisha zaidi uhusiano wa kibiashara na Iran
Aug 06, 2018 02:40Mkuu wa Chama cha Tehreek-e-Insaf cha Pakistan ambacho hivi karibuni kiliibuka na ushindi katika uchaguzi wa Bunge, kwa mara nyingine tena ametangaza utayari wake wa kustawisha uhusiano wa pande zote na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Katibu Mkuu wa UN apongeza uchaguzi wa Bunge Pakistan
Jul 27, 2018 23:03Katibu MKuu wa Umoja wa Mataifa ametoa taarifa akipongeza uchaguzi wa Bunge nchini Pakistan na kuutaja kuwa ni hatua nzuri ya kurejesha amani na demokrasia nchini humo.
-
Wasi wasi wa kushiriki baadhi ya wanachama wa zamani wa makundi ya kigaidi katika uchaguzi wa Pakistan
Jul 18, 2018 22:35Spika wa zamani wa Bunge la Kongresi nchini Pakistan, amekutaja kushiriki kwa baadhi ya viongozi wa zamani wa makundi ya kigaidi katika uchaguzi ujao wa bunge, kuwa ni maafa.
-
Aziz Ahmed Fanus: Saudia inalinda maslahi ya Marekani nchini Afghanistan
Jul 15, 2018 23:46Mtaalamu wa masuala ya kisiasa na kieneo wa nchini Afghanistan ambaye pia ni muhadhiri katika Chuo Kikuu cha mjini Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo amesema kuwa, Saudi Arabia inalinda kikamilifu maslahi na malengo ya Marekani nchini Afghanistan.
-
Shambulizi la kigaidi Balochistan, nchini Pakistan
Jul 14, 2018 07:23Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililolenga mkutano wa kampeni za uchaguzi katika mkoa wa Balochistan nchini Pakistan.