Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Pakistan

  • Jumapili, Machi 23, 2025

    Jumapili, Machi 23, 2025

    Mar 23, 2025 02:21

    Leo ni tarehe 22 mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 23 Machi 2025 Milaadia.

  • Jamaatul-Islami yaitahadharisha serikali ya Pakistan isihadaiwe na hila za Trump

    Jamaatul-Islami yaitahadharisha serikali ya Pakistan isihadaiwe na hila za Trump

    Mar 12, 2025 02:37

    Mkuu wa Chama cha Kiislamu cha Jamaat-e-Islami Pakistan (JIP) ameihutubu serikali ya Islamabad akisema: Marekani si yenye kuitakia kheri katu Pakistan na haipasi kuridhia matakwa ya nchi hiyo.

  • Wafuasi wa Imran Khan watunishiana misuli na Polisi ya Pakistan wakiandamana kuelekea Islamabad

    Wafuasi wa Imran Khan watunishiana misuli na Polisi ya Pakistan wakiandamana kuelekea Islamabad

    Nov 26, 2024 07:06

    Maelfu ya waandamanaji wanaotaka kuachiliwa huru waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan anayetumikia kifungo jela wamekaidi vizuizi vya barabarani vilivyowekwa na Polisi na gesi ya kutoa machozi waliyomiminiwa na askari hao katika azma yao ya kuingia katika mji mkuu Islamabad.

  • Araghchi: Iran inaitambua haki ya kujilinda kwa mujibu wa Hati ya Umoja wa Mataifa

    Araghchi: Iran inaitambua haki ya kujilinda kwa mujibu wa Hati ya Umoja wa Mataifa

    Nov 05, 2024 13:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu haitaki kuzusha mivutano lakini inatambua haki yake ya kujilinda kwa mujibu wa Hati ya Umoja wa Mataifa.

  • Mazuwari 28 raia wa Pakistan waaga dunia katika ajali ya basi Iran

    Mazuwari 28 raia wa Pakistan waaga dunia katika ajali ya basi Iran

    Aug 21, 2024 11:53

    Raia 28 wa Pakistan wamepoteza maisha huku makumi ya wengine wakijeruhiwa baada ya basi lililokuwa limewabeba kubingiria katika kaunti ya Taft, mkoani Yazd, katikati ya Iran. Mazuwari hao walikuwa wakielekea katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq kwa ajili ya kushiriki Arubaini ya Imam Hussein AS.

  • Takwa la Pakistan la kutofanya biashara ya mafuta na utawala wa Kizayuni

    Takwa la Pakistan la kutofanya biashara ya mafuta na utawala wa Kizayuni

    Aug 12, 2024 02:45

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan amelaani kuuawa shahidi Ismail Haniye aliyekuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na kuelezea wasiwasi wake mkubwa alionao kuhusiana na chokochoko zinazoongezeka za utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Asia Magharibi.

  • Pakistan yamtangaza rasmi Netanyahu kuwa ni gaidi, yaitaka Jamii ya Kimataifa nayo pia ifanye hivyo

    Pakistan yamtangaza rasmi Netanyahu kuwa ni gaidi, yaitaka Jamii ya Kimataifa nayo pia ifanye hivyo

    Jul 23, 2024 06:32

    Serikali ya Pakistan imetangaza kuwa Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni, ni "gaidi".

  • Azma ya Pakistan ya kuimarisha uhusiano wa pande zote na Iran

    Azma ya Pakistan ya kuimarisha uhusiano wa pande zote na Iran

    Jul 11, 2024 07:17

    Muhammad Shahbaz Sharf Waziri Mkuu wa Pakistan amesisitiza katika mazungumzo ya simu na Masoud Pezeshkian Rais Mteule wa Iran kuwa Islamabad iko tayari kustawisha uhusiano na Tehran. Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa mapatano yaliyofikiwa na nchi mbili katika ziara ya mwezi Aprili ya Rais Shahidi Raisi wa Iran huko Pakistan ni nukta muhimu katika uhusiano wa pande mbili.

  • Mokhber: Nchi za Waislamu ziungane kuzima jinai za Israel Gaza

    Mokhber: Nchi za Waislamu ziungane kuzima jinai za Israel Gaza

    Jun 17, 2024 07:46

    Kaimu Rais wa Iran ametaka kuwepo umoja na mshikamano miongoni mwa nchi za Waislamu ili kukomesha jinai na mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Rais wa Iran asisitiza kukuza ushirikiano wa pande mbili na Pakistan

    Rais wa Iran asisitiza kukuza ushirikiano wa pande mbili na Pakistan

    Apr 23, 2024 03:09

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kukuza ushirikiano kati ya Tehran na Islamabad katika nyanja mbalimbali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS