Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Maneva ya makundi ya Palestina kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Maneva ya makundi ya Palestina kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 27, 2021 23:18

    Idara ya pamoja ya makundi ya muqawama ya Palestina katika Ukanda wa Gaza ilitangaza kuwa, mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya makundi hayo yaliyopewa jina la "Al-Rukn al-Shadid 2" yalianza Jumapili iliyopita na yataendelea kwa siku kadhaa.

  • Muqawama wa Palestina Gaza wafanyia majaribio kwa mafanikio kombora la Qassem-10

    Muqawama wa Palestina Gaza wafanyia majaribio kwa mafanikio kombora la Qassem-10

    Dec 27, 2021 23:17

    Kundi la Kataaibul-Muqaawamatil-Wat'aniyyah la Palestina limetangaza kuwa limelifanyia majaribio kwa mafanikio kombora lililotengenezwa na wanamuqawama la "Qassem-10" huko Ukanda wa Gaza.

  • Onyo la Papa Francis kuhusu kimya cha walimwengu kwa jinai dhidi ya Palestina na Yemen

    Onyo la Papa Francis kuhusu kimya cha walimwengu kwa jinai dhidi ya Palestina na Yemen

    Dec 26, 2021 23:08

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameonya kuhusiana na kimya na kigugumizi cha walimwengu kwa jinai na masaibu yanayowakumba wananchi wa Yemen na Palestina.

  • Papa Francis aonya kimya cha walimwengu kuhusu jinai dhidi ya Palestina na Yemen

    Papa Francis aonya kimya cha walimwengu kuhusu jinai dhidi ya Palestina na Yemen

    Dec 25, 2021 23:06

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameonya kuhusiana na kimya na kigugumizi cha walimwengu kuhusiana na jinai na masaibu yanayowakumba wananchi wa Yemen na Palestina.

  • Jihad Islami: Kukamatwa Mujahidina wa Palestina hakuzuii mapambano dhidi ya Wazayuni

    Jihad Islami: Kukamatwa Mujahidina wa Palestina hakuzuii mapambano dhidi ya Wazayuni

    Dec 20, 2021 23:06

    Harakati ya Jihad Iislami ya Palestina imetangaza kuwa kutiwa mbaroni maafisa na Mujahidina wa Palestina hakutazuia makundi ya muqawama kuendelea kukabiliana na uvamizi na vitendo vya kiuadui vya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Abdollahian asisitiza msimamo wa Iran wa kuliunga mkono taifa la Palestina

    Abdollahian asisitiza msimamo wa Iran wa kuliunga mkono taifa la Palestina

    Dec 20, 2021 01:16

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran itaendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hadi pale mji mtakatifu wa Quds utakapombolewa na kuondoka katika makucha ya Wazayuni maghasibu.

  • Palestina yataka jamii ya kimataifa izuie ugaidi wa Israel

    Palestina yataka jamii ya kimataifa izuie ugaidi wa Israel

    Dec 18, 2021 09:19

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura za kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe vitendo vya kigaidi vinavyotekelezwa na walowezi wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.

  • Mapambano ya silaha na Israel na umoja wa Wapalestina; mihimili mikuu miwili ya harakati ya HAMAS

    Mapambano ya silaha na Israel na umoja wa Wapalestina; mihimili mikuu miwili ya harakati ya HAMAS

    Dec 16, 2021 08:12

    Jumanne ya juzi tarehe 14 Disemba ilinasadifiana na mwaka wa 34 tangu kuasisiwa Harakati ya Mapambano ya Kislamu ya Palestina HAMAS.

  • Jihad Islami yatilia mkazo kuendelezwa mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel

    Jihad Islami yatilia mkazo kuendelezwa mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel

    Dec 11, 2021 06:43

    Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imemesisitiza udharura wa kudumishwa mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel.

  • Harakati ya HAMAS yaadhimisha miaka 34 ya kuasisiwa kwake

    Harakati ya HAMAS yaadhimisha miaka 34 ya kuasisiwa kwake

    Dec 10, 2021 23:15

    Idadi kubwa ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza wameshiriki katika maadhimisho ya mwaka wa 34 wa kuasisiwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS