-
Rais wa Algeria: Nchi za Kiarabu zinapaswa kulisaidia taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Israel
Dec 07, 2021 00:01Rais wa Algeria amesisitiza udharura wa nchi za Kiarabu kushirikiana kwa ajili ya kusaidia mapambano ya ukombozi ya wananchi wa Palestina dhidi ya utawala vamizi na ghasibu wa Israel.
-
HAMAS: 'Maandamano ya Bendera' ya Wazayuni hayawezi kubadilisha utambulisho wa Palestina
Dec 06, 2021 09:33Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, maandamano ya Wazayuni wakiwa wamebeba bendera za utawala haramu wa Israel hayawezi kubadilisha utambulisho wa Kiarabu na Kipalestina wa ardhi hizo na wakazi asili wa ardhi hizo.
-
Ijumaa tarehe 3 Disemba 2021
Dec 02, 2021 23:39Leo ni Ijumaa tarehe 27 Rabiuthani 1443 Hijria sana na tarehe 3 Disemba 2021.
-
HAMAS: Mabunge ya Kiarabu na Kiislamu yazuie kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 01, 2021 23:30Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeyataka mabunge ya mataifa ya Kiarabu na Kiislamu yasimame kidete na kuzizuia serikali zao kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Siku ya Kimataifa ya Kufungamana na Palestina; hatua ya kipropaganda ya Umoja wa Mataifa
Dec 01, 2021 07:31Licha ya kupita miaka 44 tangu Umoja wa Mataifa utangaze tarehe 29 Novemba kuwa Siku ya Kimataifa ya Kufungamana na Taifa la Palestina lakini hakuna lolote la maana ambalo limechukuliwa katika uwanja huo na badala yake hali ya Palestina inaendelea kuwa mbaya na ya kusikitisha mwaka hadi mwingine.
-
Israel imewasababishia Wapalestina hasara ya dola bilioni 57 katika Ukingo wa Magharibi
Nov 30, 2021 01:00Shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo UNCTAD limechapisha ripoti inayoonyesha kuwa sera za ukaliaji mabavu za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan zimesababisha hasara ya kiuchumi ya zaidi ya dola bilioni 57 kwa taifa la Palestina katika kipindi cha miongo miwili iliyopita.
-
Onyo la HAMAS kwa rais wa utawala haramu wa Israel
Nov 28, 2021 08:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya mpango wa Rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Isaac Herzog wa kuutembelea Mstikiti wa Ibrahim kusini magharibi mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Umoja wa Maulamaa Waislamu: Ni haramu kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni
Nov 28, 2021 04:33Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa Waislamu umelaani hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha muungano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kusaini mikataba ya mapatano na utawala huo ghasibu.
-
PLO yalaani makubaliano ya kijeshi ya Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 27, 2021 04:30Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imelaani vikali makubaliano ya kijeshi yaliyofikiwa baina ya Morocco na utawala wa Kizayuni wa Israel na kueleza kuwa, mabaliano hayo ni zawadi kwa wavamizi.
-
Jumanne tarehe 23 Novemba 2021
Nov 23, 2021 16:34Leo ni Jumanne tarehe 17 Rabiuthani 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 23 Novemba 2021.