Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Jumanne tarehe 23 Novemba 2021

    Jumanne tarehe 23 Novemba 2021

    Nov 23, 2021 16:34

    Leo ni Jumanne tarehe 17 Rabiuthani 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 23 Novemba 2021.

  • Walowezi wa Kizayuni wawashambulia Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi

    Walowezi wa Kizayuni wawashambulia Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi

    Nov 22, 2021 04:41

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamefanya hujuma na mashambulio dhidi ya nyumba za Wapalestina kusini mwa mji wa Nablos ulioko kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Haniya: Iran ni nguzo muhimu ya kambi ya muqawama

    Haniya: Iran ni nguzo muhimu ya kambi ya muqawama

    Nov 21, 2021 08:01

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuitaja kama nguzo kuu na muhimu ya mrengo wa muqawama wa Wapalestina.

  • Sekretarieti ya Kuunga Mkono Intifadha ya Palestian yalaani hatua ya Uingereza dhidi ya HAMAS

    Sekretarieti ya Kuunga Mkono Intifadha ya Palestian yalaani hatua ya Uingereza dhidi ya HAMAS

    Nov 20, 2021 04:45

    Sekretarieti ya Kudumu ya Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina Katika Bunge la Iran imelaani vikali hatua ya serikali ya Uingereza ya kuiweka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS katika orodha ya makundi ya kigaidi.

  • Khalid Mash'al: Kufanya mapatano na utawala wa Kizayuni ni kulisaliti taifa la Palestina

    Khalid Mash'al: Kufanya mapatano na utawala wa Kizayuni ni kulisaliti taifa la Palestina

    Nov 19, 2021 08:29

    Kiongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS nje ya nchi amesema mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ni kosa kubwa na usaliti kwa taifa la Palestina.

  • Jumamosi, 13 Novemba, 2021

    Jumamosi, 13 Novemba, 2021

    Nov 13, 2021 00:51

    Leo ni Jumamosi tarehe 7 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1443 Hijria mwafaka na tarehe 13 Novemba 2021 Miladia.

  • Israel imewafanyia ujasusi wafanyakazi wa asasi za kirai za Palestina

    Israel imewafanyia ujasusi wafanyakazi wa asasi za kirai za Palestina

    Nov 09, 2021 04:40

    Shirika moja la kutetea haki za binadamu la Ulaya limefichua kuwa, programu ya kijasusi ya utawala wa Kizayuni ya Pegasus imetumika kuwachunguza na kuwafuatilia wafanyakazi wa asasi za kiraia za Kipalestina, hususan zilizowekwa kwenye eti ya orodha ya ugaidi ya Tel Aviv.

  • Jumapili, Novemba 7 2021

    Jumapili, Novemba 7 2021

    Nov 07, 2021 00:04

    Leo ni Jumapili tarehe Mosi Mfunguo Saba Rabiu Thani 1443 Hijria sawa na tarehe 7 Novemba 2021 Milaadia.

  • Mwaka wa 104 tangu kutangazwa Azimio la Balfour na sisitizo la Wapalestina la kuendeleza mapambano

    Mwaka wa 104 tangu kutangazwa Azimio la Balfour na sisitizo la Wapalestina la kuendeleza mapambano

    Nov 05, 2021 05:38

    Huku yakitangaza taathira na madhara ya Azimio la Balfour ambalo lilliunga mkono rasmi kuanzishwa utawala ghasibu wa Israel katika ardhi za Palestina, makundi ya mapambano ya Palestina yamesisitiza juu ya kuendeleza mapambano dhidi ya utawala huo.

  • HAMAS: Hakuna dola lolote linaloweza kuwalazimisha Wapalestina watoke katika ardhi zao

    HAMAS: Hakuna dola lolote linaloweza kuwalazimisha Wapalestina watoke katika ardhi zao

    Nov 03, 2021 04:13

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, hakuna dola lolote duniani lenye uwezo wa kulilazisha taifa la Palesitna liondoke katika ardhi zake na kuzifumbia macho.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS