-
HAMAS: Wazayuni hawana ubavu wa kuizuia Gaza isiendeleze mapambano ya silaha
Sep 11, 2021 06:51Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuishambulia kwa mabomu Gaza haiwezi kulizuia eneo hilo lisiendeleze mapambano yake ya silaha dhidi ya adui Mzayuni.
-
Israel yaiomba msaada Jordan kwa ajili ya kuwapata mateka Wapalestina waliotoroka jela
Sep 10, 2021 08:16Vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeiomba msaada Jordan kwa ajili ya kuwapata mateka sita Wapalestina waliotoroka jela ya utawala huo ghasibu.
-
Ijumaa,10 Septemba, 2021
Sep 09, 2021 22:15Leo ni Ijumaa tarehe 3 Safar 1443 Hijria sawa na Septemba 10 mwaka 2021
-
Algeria yasisitiza udharura wa kuwatetea Wapalestina, Libya na Syria
Sep 09, 2021 06:39Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Algeria imetilia mkazo msimamo wake wa kuendelea kutetea taifa la Palestina na kupinga uingiliaji wa nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya Syria na Libya.
-
Mateka wa Palestina wachoma moto jela nyingine ya Kizayuni
Sep 09, 2021 03:02Duru za utawala wa Kizayuni zimetangaza kuwa, mateka wa Palestina wamechoma moto jela ya pili ya utawala wa Kizayuni.
-
Mateka Wapalestina wachoma moto jela ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya Ktzi'ot
Sep 08, 2021 22:05Duru za habari za Kiebrania zimetangaza kuwa mateka Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye jela ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ya Ktzi'ot wamechoma moto vyumba walimowekwa ndani ya jela hiyo.
-
Fawzi Barhoum : Kutoroka jela mateka wa Palestina ni hatua ya kishujaa
Sep 06, 2021 06:51Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, hatua ya mateka 6 wa Kipalestina ya kutoka kwenye jela ya utawala wa Kizayuni licha ya kuweko ulinzi mkali, ni ya kishujaa.
-
HAMAS yawataka Wapalestina wauhami Msikiti wa Aqsa
Sep 05, 2021 22:34Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) katika mji wa Quds Tukufu ametoa mwito kwa Wapalestina kujitokeza kwa wingi katika Msikiti wa al-Aqsa ili kuuhami na kuulinda dhidi ya uvamizi wa Walowezi wa Kizayuni, wakati wa sherehe na matambiko yao.
-
Palestina yataka kuharakishwa kesi ya kuchunguza uhalifu wa Israel mahakama ya ICC
Sep 05, 2021 02:49Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Palestina imetoa wito wa kuharakishwa mwenendo wa kesi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) huko Hague nchini Uholanzi kwa ajili ya kuchunguza jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina.
-
Jeshi la Israel lamuua shahidi kijana wa Kipalestina kwa kumpiga risasi
Aug 31, 2021 22:53Askari wa utawala haramu wa Israel wamemuua shahidi kijana wa Palestina kwa kumpiga risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.