Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Mahmoud Abbas 'amewapiga jambia' Wapalestina kwa kukutana na Gantz

    Mahmoud Abbas 'amewapiga jambia' Wapalestina kwa kukutana na Gantz

    Aug 30, 2021 06:52

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amesema kitendo cha Mamhoumd Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kukutana na kufanya mazungumzo na Benny Gantz, Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel ni sawa na kuwachoma jambia kwa nyuma Wapalestina.

  • Jihad al Islami yasisitizia wajibu wa kupambana na njama zote za Wazayuni

    Jihad al Islami yasisitizia wajibu wa kupambana na njama zote za Wazayuni

    Aug 30, 2021 02:40

    Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesisitiza kuwa, matamshi ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na wengine, kamwe hayawezi kuudhoofisha muqawama na kwamba makundi ya wanamapambano wa Palesitna yako tayari kukabiliana na upuuzi wowote wa Israel.

  • HAMAS: Wapalestina watapambana ili kujikomboa na kupata uhuru wao

    HAMAS: Wapalestina watapambana ili kujikomboa na kupata uhuru wao

    Aug 29, 2021 10:09

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amesema, Wapalestina hawatavumilia katu kufanyiwa mapatano haki zao za kitaifa na watapambana ili kujikomboa na kupata uhuru wao.

  • HAMAS: Rais Mahmoud Abbas anatupatia masharti yale yale ya utawala haramu wa Israel

    HAMAS: Rais Mahmoud Abbas anatupatia masharti yale yale ya utawala haramu wa Israel

    Aug 28, 2021 22:17

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imekosoa vikali misimamo ya Mamhoumd Abbas na kueleza kwamba, Rais huyo wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina akiwa na lengo la kuhitimisha hitilafu za ndani na kukamilisha mpango wa umoja wa kitaifa amekuwa akiipatia harakati hiyo masharti yale yale ya Israel.

  • UN: Jeshi la Israel limeua Wapalestina 59 Ukingo wa Magharibi

    UN: Jeshi la Israel limeua Wapalestina 59 Ukingo wa Magharibi

    Aug 27, 2021 03:33

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada ya Kibinadamu Kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) limesema jeshi la Israel limeua Wapalestina 59 katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu ndani ya mwaka huu 2021 pekee.

  • Wapalestina waandamana kulaani ushirikiano wa kiusalama kati ya Mamalaka ya Ndani na Israel

    Wapalestina waandamana kulaani ushirikiano wa kiusalama kati ya Mamalaka ya Ndani na Israel

    Aug 26, 2021 22:06

    Umati mkubwa wa Wapalestina umeandamana katika mji wa Ramallah ulioko kwenye Ufukwe wa Magharibi mwa Mto Jordan kulaani ushirikiano wa kiusalama uliopo kati ya serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Haniya: Upanga wa Quds ulisambaratisha njama za kuuchafua muqawama

    Haniya: Upanga wa Quds ulisambaratisha njama za kuuchafua muqawama

    Aug 22, 2021 23:03

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema vita vya Saif al Quds (Upanga wa Quds) vilizima njama na juhudi zote za kutaka kuipaka matope kambi ya muqawama.

  • "Kutowajibishwa Israel kumeifanya iendelee kukiuka sheria za kimataifa"

    Aug 18, 2021 08:23

    Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema kutoubebesha dhima utawala haramu wa Israel kumeushajiisha na kuupa uthubutu wa kuendelea kukanyaga sheria za kimataifa.

  • Wapalestina 4 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel Ukingo wa Magharibi

    Wapalestina 4 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel Ukingo wa Magharibi

    Aug 16, 2021 03:10

    Askari wa utawala haramu wa Israel wamewaua shahidi vijana wanne Wapalestina kwa kuwapiga risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Ijumaa ,13 Agosti, 2021

    Ijumaa ,13 Agosti, 2021

    Aug 12, 2021 21:50

    Leo ni Ijumaa tarehe 4 Mfunguo Nne Muharram 1443 Hijria sawa na Agosti 13 mwaka 2021.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS