-
UN yataka kusitishwa jinai za Israel dhidi ya wanaharakati wa Palestina
Aug 12, 2021 08:22Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa jinai na uhalifu unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wanaharakati wa Palestina.
-
Jihad Islami ya Palestina yasikitishwa na safari ya waziri wa Israel Morocco
Aug 11, 2021 22:51Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amelaani vikali safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel nchini Morocco na kubainisha kuwa, ziara hiyo haikubaliki.
-
Katibu Mkuu wa Ansarullah: Saudia imeivunjia heshima Nyumba Tukufu ya Allah kwa kuzuia kufanyika Hija
Aug 09, 2021 22:05Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa hatua ya utawala wa Aal Saud ya kuzuia kufanyika ibada tukufu ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo kwa kisingizio cha corona ni kuivunjia heshima Nyumba Tukufu ya Allah.
-
Spika wa Bunge la Iran: Uungaji mkono kwa Palestina utaendelea hadi kukombolewa Quds
Aug 09, 2021 07:36Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, taifa hili litaendelea kuunga mkono mapambano ya taifa la Palestina na mhimili wa muqawama hadi Quds tukufu itakapombolewa.
-
Ismail Haniya: Iran ndiyo roho ya kambi ya muqawama
Aug 09, 2021 03:11Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo roho na moyo wa mrengo wa muqawama wa Kiislamu.
-
HAMAS: Marekani inaipa baraka Israel za kuendeleza mauaji yake dhidi ya Wapalestina
Aug 01, 2021 00:58Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, uamuzi waserikali ya Marekani wa kuupatia silaha mpya utawala haramu wa Israel maana yake ni kuupa baraka utawala huo ghasibu za kuendeleza hujuma na mashambulio yake dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Kwa msaada wa askari wa Israel, walowezi wa Kizayuni wauvamia tena msikiti wa Al Aqsa
Jul 27, 2021 10:40Walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Israel leo wameuvamia tena msikiti wa Al Aqsa katika mji mtukufu wa Baitul Muqaddas (Jerusalem).
-
HAMAS: Kuishambulia Gaza kwa mabomu, jaribio lililofeli la adui
Jul 26, 2021 07:57Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeashiria mashambulio ya usiku wa kuamkia leo ya jeshi katili la utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na kusema kuwa, hujuma hiyo ya anga ni jaribio lililofeli la utawala wa Kizayuni la kujaribu kuonesha una nguvu.
-
Onyo la mwisho la muqawama wa Palestina dhidi ya Israe: Msivuke mistari yetu myekundu
Jul 20, 2021 21:59Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na hujuma na uvamizi wake dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa na Baitul-Muqaddas.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa China: Kuasisiwa nchi huru ya Palestina ni haki ya kisheria ya Wapalestina
Jul 19, 2021 09:02Waziri wa Mambo ya Nje wa China amesema kuwa, kuundwa nchi huru ya Palestina ni haki ya kisheria ya Wapalestina na jambo hilo halipasi kuakhirishwa.