• Hamas: Kubadilishana mateka, njia pekee ya Israel kuwapata mateka wake

    Hamas: Kubadilishana mateka, njia pekee ya Israel kuwapata mateka wake

    Feb 19, 2021 03:41

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni itawapata wanajeshi wake waliotekwa nyara kupitia tu mpango wa kubadilishana mateka.

  • Palestina yataka kuharakishwa kufuatiliwa jinai za kivita za Israel

    Palestina yataka kuharakishwa kufuatiliwa jinai za kivita za Israel

    Feb 15, 2021 04:21

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina jana usiku ilitoa tamko na kutaka kuharakishwa kufuatiliwa jinai za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.

  • UN: Uamuzi wa ICC umefungua mlango wa kupata haki Wapalestina

    UN: Uamuzi wa ICC umefungua mlango wa kupata haki Wapalestina

    Feb 10, 2021 20:05

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amesema uamuzi wa hivi karibuni wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC wa kubariki kuchunguzwa jinai za utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya taifa la Palestina umefungua mlango wa kupata haki Wapalestina.

  • EU yapinga bomoabomoa ya nyumba za raia wa Palestina inayofanywa na Israel

    EU yapinga bomoabomoa ya nyumba za raia wa Palestina inayofanywa na Israel

    Feb 10, 2021 03:33

    Msemaji wa Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) ametoa taarifa akipinga vikali operesheni ya kuboa nyumba za raia wa Palestina inayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Uamuzi wa ICC; ushindi kwa Wapalestina

    Uamuzi wa ICC; ushindi kwa Wapalestina

    Feb 07, 2021 23:22

    Kufuatia ombi la Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kwa ajili ya kuchunguza jinai za utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya taifa la Palestina, majaji wa mahakama hiyo wametoa uamuzi wakisema kuwa mahakama hiyo inafaa kisheria kuchunguza jinai za kivita katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.

  • Imarati, Bahrain zawakatia Wapalestina misaada baada ya kuikumbatia Israel

    Imarati, Bahrain zawakatia Wapalestina misaada baada ya kuikumbatia Israel

    Feb 07, 2021 04:18

    Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain zimepunguza kwa kiasi kikubwa misaada yao ya kifedha iliyokuwa ikiwapa wananchi wa Palestina, baada ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas, Arab League zakaribisha uamuzi wa ICC dhidi ya Israel

    Hamas, Arab League zakaribisha uamuzi wa ICC dhidi ya Israel

    Feb 07, 2021 03:48

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza hukumu ya hivi karibuni ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC yenye maslahi kwa wananchi wa Palestina na iliyoughadhabisha mno utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Netanyahu ahamakishwa na hukumu ya mahakama ya ICC

    Netanyahu ahamakishwa na hukumu ya mahakama ya ICC

    Feb 06, 2021 04:07

    Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameshindwa kuficha hamaki zake baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutoa hukumu kwa manufaa ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

  • Jumamosi, 06 Februari, 2021

    Jumamosi, 06 Februari, 2021

    Feb 05, 2021 23:04

    Leo ni Jumamosi tarehe 23 Mfunguo Tisa Jamadithani 1442 Hijria sawa na tarehe 6 Februari 2021 Miladia.

  • Msimamo wa Uturuki baada ya kutiwa saini mapatano kati ya Kosovo na Israel

    Msimamo wa Uturuki baada ya kutiwa saini mapatano kati ya Kosovo na Israel

    Feb 05, 2021 06:46

    Katika hatua inayopaswa kutiliwa maanani, serikali ya Uturuki imepinga kitendo cha kutiwa saini mapatano kati ya Kosovo na utawala wa kibaguzi wa Israel kwa ajili ya kufungua ubalozi wa nchi hiyo katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.