-
Polisi wa utawala wa Kizayuni wawaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana wawili Wapalestina
Feb 02, 2021 04:02Polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana wawili Wapalestina baada ya kuvamia eneo moja katika mji Tamra kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Ukosoaji wa kuchelewa wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu kadhia ya Palestina
Jan 29, 2021 23:14Akizungumza Jumanne katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoandaliwa kwa ajili ya kujadili masuala ya eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) Ahmad Abu al-Ghait, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu au kwa jina jingine Arab League, alisema kuwa Wapalestina wamepitia mashinikizo makubwa yasiyo na mfano wake katika miaka minne ya utawala wa rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump.
-
Alkhamisi, 28 Januari, 2021
Jan 27, 2021 23:03Leo ni Alkhamisi tarehe 14 Mfunguuo Tisa Jamadithani 1442 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 28 Januari 2021 Miladia.
-
Wanajeshi wa Israel wamuua shahidi Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi
Jan 27, 2021 00:55Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamempiga risasi na kumuua shahid kijana Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jumatatu tarehe 25 Januari 2021
Jan 24, 2021 23:04Leo ni Jumatatu tarehe 11 Jamadithani 1442 Hijria sawa na tarehe 25 Januari 2021.
-
Wapalestina: Iran ndiye muungaji mkono mkuu wa ukombozi wa Palestina
Jan 24, 2021 23:01Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiye muungaji mkono mkuu wa ukombozi wa Palestina na muqawama wa taifa hilo mbele ya jinai za utawala wa Kizayuni.
-
Jumapili, 24 Januari, 2021
Jan 23, 2021 23:06Leo ni Jumapili tarehe 10 Jamadithani 1442 Hijria sawa na tarehe 24 Januari 2021.
-
Hamas: Trump alikuwa mshirika wa hujuma za utawala wa Kizayuni dhidi ya Palestina
Jan 21, 2021 08:13Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa Donald Trump alikuwa mshirika wa moja kwa moja wa utawala wa Kizayuni katika kuwakandamiza wananchi wa Palestina.
-
Indhari ya makundi ya muqawama ya Palestina kwa utawala wa Kizayuni
Jan 20, 2021 08:35Makundi ya muqawama katika Ukanda wa Ghaza yamesema kuwa umoja ni njia pekee ya kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni dhidi ya kadhia ya Palestina.
-
Fat'h na Hamas zaunga mkono kufanyika uchaguzi Palestina baada ya miaka 15
Jan 16, 2021 04:15Harakati za kupigania ukombozi wa Palestina za Fat'h na Hamas zimeunga mkono tangazo la Mamlaka ya Ndani ya Palestina kuhusu kufanyika uchaguzi wa bunge la rais baadaye mwaka huu.