-
Vyama vya Kiislamu Morocco vyapinga uhusiano wa nchi hiyo na Israel
Dec 13, 2020 07:22Vyama vya Kiislamu nchini Morocco vimepinga vikali uamuzi wa ufalme wa nchi hiyo wa kuafikia kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel kufuatia mapatano yaliyosimamiwa na Marekani.
-
Iran: Marekani inawashawishi wengine watoe muhanga kadhia ya Palestina
Dec 12, 2020 03:51Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani inazishawishi nchi zingine kutoa muhanga kadhia ya Palestina na kuwapa mkono wezi kwa njia mbali mbali.
-
Hizbullah: Tawala za Kiarabu katika eneo hazijawahi kuwa pamoja na Palestina
Dec 08, 2020 08:45Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, tawala za Kiarabu zinazotenda jinai katika Mashariki ya Kati hazijawahi kuwa pamoja na Palestina wala kuunga mkono muqawama.
-
Az-Zahar: Kuwa na uratibu wa kiusalama na Israel ni kuisaliti Palestina
Dec 06, 2020 04:35Mahmoud Az-Zahar, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, watu wanaoitakidi kwamba, kuwa na uratibu wa kiusalama na Israel ni mkakati wa kitaifa wanaisaliti ardhi ya Palestina, watu wake na matukufu yake.
-
Wamorocco wachoma moto bendera ya Israel katika kuonyesha mshikamano wao na Palestina
Dec 01, 2020 04:05Wananchi wa Morocco wamechoma bendera ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikana na Taifa la Palestina.
-
Jumatatu, 30 Novemba, 2020
Nov 30, 2020 01:04Leo ni Jumatatu tarehe 14 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1442 Hijria mwafaka na tarehe 30 Novemba 2020 Miladia.
-
Uturuki yakosoa mpango wa nchi za Kiarabu wa kufungua balozi zao Baitul Muqaddas
Nov 28, 2020 04:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema mpango wa nchi za Kiarabu wa kufungua balozi zao katika mji wa Baitul Muqaddas, utadhoofisha uwezekano wa kuundwa nchi ya Palestina.
-
Hatimaye Maher al Akhras aachiwa huru baada ya kugoma kula kwa muda mrefu
Nov 26, 2020 04:49Maher al Akhras mateka wa Kipalestina ambaye alikabiliana pakubwa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kugoma kula kwa muda mrefu hatimaye ameaachiwa huru kutoka katika jela za utawala huo.
-
Wanawake wa Kipalestina zaidi ya elfu 15 watiwa mbaroni na Israel kuanzia mwaka 1967 hadi sasa
Nov 26, 2020 01:04Kituo kimoja cha Utafiti Maalumu wa Masuala ya Mateka wa Kipalestina kimeripoti kuwa, zaidi ya wanawake wa Kipalestina elfu 15 wametiwa mbaroni na utawala wa Kizayuni tangu mwaka 1967 hadi sasa.
-
Waziri Mkuu wa Morocco: Wamorocco wanaiunga mkono Palestina kwa karne kadhaa sasa
Nov 23, 2020 01:00Waziri Mkuu wa Morocco amesema kuwa wananchi wa Morocco wanaiunga mkono Palestina kwa karne kadhaa sasa.