-
Jumapili tarehe 22 Novemba 2020
Nov 21, 2020 23:13Leo ni Jumapili tarehe 6 Mfunguo Saba Rabiuthani 1442 Hijria sawa na tarehe 22 Novemba 2020.
-
Jeshi la Israel limeua watoto 3,000 wa Palestina tokea Intifadha ya 2
Nov 20, 2020 23:06Wizara ya Habari ya Palestina imeripoti kuwa, maelfu ya watoto wa Kipalestina wameuawa shahidi mikononi mwa askari katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel tangu ilipoanza Intifadha ya Pili ya Palestina hadi sasa.
-
Umoja wa Mataifa wapasisha azimio la haki ya Wapalestina ya kujiainisha hatima yao
Nov 20, 2020 04:17Umoja wa Mataifa umepasisha azimio linalotilia mkazo haki walionayo Wapalestina ya kujiainishia hatima na mustakabali wao.
-
Kamati za Muqawama Palestina: Watawala wa Bahrain wamelisaliti taifa la Palestina
Nov 20, 2020 03:27Msemaji wa Kamati za Muqawama za Palestina amelaani vikali safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Bahrain katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na zilizopewa jina bandia la Israel.
-
Ndege za kivita za Israel zashambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza
Nov 15, 2020 08:30Ndege za kivita za utawala haramu wa Israel zimeshambulia ngome za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Gaza mapema leo Jumapili.
-
Arab League yataka kuokolewa mateka wa Kipalestina katika jela za Israel
Nov 12, 2020 04:03Kufuatia kufa shahidi mateka Mpalestina Kamal Abu Waar akiwa katika jela ya utawala wa Kizayuni wa Israel, Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetoa mwito wa kuchukiliwa hatua za dharura za kuwanusuru mateka wengine wa Kipalestina wanaozuiliwa katika mazingira ya kuogofya katika jela na korokoro hizo za Wazayuni.
-
Harakati za Palestina zalaani mateka Mpalestina kufia gerezani
Nov 11, 2020 04:16Makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina yametoa taarifa na kulaani kufa shahidi mateka Mpalestina Kamal Abu Waar akiwa katika jela ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema hilo ni thibitisho la namna utawala huo unavyowatendea unyama wafungwa.
-
OIC yalaani bomoa bomoa ya nyumba za raia wa Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Nov 10, 2020 06:16Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa taarifa ikilaani uhalifu unaoendelea kufanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel wa kubomoa nyumba na taasisi za Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Jumanne tarehe 10 Novemba mwaka 2020
Nov 09, 2020 23:10Leo ni Jumanne tarehe 24 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1442 Hjiria sawa na Novemba 10 mwaka 2020.
-
Makundi ya Kipalestina: Msimamo wa uhasama wa Marekani kuhusu Palestina haubadiliki
Nov 09, 2020 00:58Makundi ya Kipalestina yametangaza kuwa kuingia madarakani Joe Biden hakutabadili msimamo wa kiuhasama wa Marekani kuhusu kadhia ya Palestina.