Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Rais wa China: Kadhia ya Palestina ndiyo kuu zaidi Asia Magharibi

    Rais wa China: Kadhia ya Palestina ndiyo kuu zaidi Asia Magharibi

    Jul 21, 2020 22:01

    Rais Xi jingping wa China amesema kadhia ya Palestina ndilo swala kuu zaidi hivi sasa katika eneo la Asia Magharibi.

  • Hamas: Bomoabomoa ya nyumba za Wapalestina; utekelezaji kivitendo mpango wa kutwaa ardhi za Palestina

    Hamas: Bomoabomoa ya nyumba za Wapalestina; utekelezaji kivitendo mpango wa kutwaa ardhi za Palestina

    Jul 21, 2020 06:33

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni unabomoa nyumba za wananchi wa Palestinana hivyo inatekeleza kivitendo mpango wake wa kuikalia kwa mabavu sehemu kubwa ya ardhi ya Ukingo wa Mgharibi wa Mto Jordan.

  • Jihadul Islami ya Palestina yalalamikia njama mpya za

    Jihadul Islami ya Palestina yalalamikia njama mpya za "Google" na "Apple"

    Jul 19, 2020 06:18

    Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imekosoa vikali kitendo cha mashirika ya intaneti ya Google na Apple ya Marekani ya kuondoa neno "Palestina" katika ramani zao za dunia.

  • Makundi ya Palestina yasisitiza kuwa tayari kukabiliana na uvamizi mpya wa Wazayuni

    Makundi ya Palestina yasisitiza kuwa tayari kukabiliana na uvamizi mpya wa Wazayuni

    Jul 19, 2020 02:22

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesisitiza kuwa, vikosi vya muqawama wa Kiislamu Palestina vimejiandaa kikamilifu kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi mpya wa Wazayuni maghasibu.

  • UN: Kuzingirwa Ukanda wa Ghaza ni kuwaadhibu kwa umati Wapalestina

    UN: Kuzingirwa Ukanda wa Ghaza ni kuwaadhibu kwa umati Wapalestina

    Jul 18, 2020 03:29

    Ripota na mtaalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kuuzingira Ukanda wa Ghaza kunakofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuwaadhibu kwa umati wananchi wa Palestina.

  • Wimbi la malalamiko mitandaoni baada ya Google kuiondoa Palestina katika ramani ya dunia

    Wimbi la malalamiko mitandaoni baada ya Google kuiondoa Palestina katika ramani ya dunia

    Jul 17, 2020 03:38

    Shirika la intaneti la Google limejiwa juu na watumiaji wa mitandao mbali mbali ya kijamii baada ya kuiondoa "Palestina" katika ramani zake za dunia, na badala yake kupachika jina la "Israel."

  • Vyama mbalimbali Yemen vyapinga kuhuisha uhusiano na adui Mzayuni

    Vyama mbalimbali Yemen vyapinga kuhuisha uhusiano na adui Mzayuni

    Jul 16, 2020 22:12

    Washiriki katika kikao kilichofanyika Sana'a mji mkuu wa Yemen wakiwakilisha vyama mbalimbali vya siasa na wawakilishi wa Palestina wamesisitiza udharura wa kusimama imara na bega kwa bega na wananchi wa Palestina na kupinga aina zote za kuanzishwa uhusiano na utawala ghasibu wa Israel.

  • Mawaziri wa EU: Mwanya wa kuzuia uporaji wa ardhi za Wapalestina unazidi kuwa finyu

    Mawaziri wa EU: Mwanya wa kuzuia uporaji wa ardhi za Wapalestina unazidi kuwa finyu

    Jul 14, 2020 03:40

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wametoa mwito kwa EU-mshirika mkubwa zaidi wa kibiashara wa Israel-kuchukua hatua za makusudi na haraka kuzuia mpango wa Tel Aviv wa kutwaa ardhi zaidi za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • China: Uvamizi na uhasama dhidi ya Palestina haupaswi kuhalalishwa

    China: Uvamizi na uhasama dhidi ya Palestina haupaswi kuhalalishwa

    Jul 07, 2020 03:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China ameashiria kuhusu uungaji mkono wa nchi hiyo ya Asia kwa wananchi madhulumu wa Palestina na kusisitiza kuwa, kuhujumiwa haki za msingi za Wapalestina hakupaswi kuhalalishwa.

  • EU kuiadhibu Israel iwapo itatwaa ardhi ya Palestina ya Ukingo wa Magharibi

    EU kuiadhibu Israel iwapo itatwaa ardhi ya Palestina ya Ukingo wa Magharibi

    Jul 06, 2020 22:00

    Umoja wa Ulaya (EU) umetahadharisha kwamba, iwapo Israel itatekeleza uamuzi wake wa kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi, mawaziri wa nambo ya Nje wa nchi wanachama katika umoja huo hawatafanya safari huko Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS