-
Wizara ya Ulinzi ya Iran: Tutaendelea kuunga mkono muqawama wa Palestina
May 23, 2020 05:45Wizara ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema itaendelea kuziunga mkono na kuzipa misaada isiyo na kikomo harakati za muqawama za Palestina zinazopambana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
PFLP: Hotuba ya Kiongozi Muadhamu imeainisha ramani ya njia ya kuikomboa Palestina
May 23, 2020 03:36Afisa wa ngazi za juu wa Palestina amesema hotuba ya jana ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds imechora na kuanisha ramani ya njia ya ukombozi wa Palestina.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu kukaribia kuangamia utawala wa Kizayuni katika eneo
May 22, 2020 22:08"Bila shaka kirusi cha Uzayuni hakitadumu kwa muda mrefu na kwa kutegemea hima, imani, ghera ya vijana, mizizi ya kirusi hicho itang'olewa na kuondolewa katika eneo".
-
Siku ya Quds na kuongezeka makabiliano ya Wapalestina na 'Muamala wa Karne'
May 22, 2020 05:18Katika Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu 2020, Wapalestina wameimarisha harakati zao za kupinga mpango wa kibaguzi unaojulikana kama 'Muamala wa Karne'.
-
Zarif: Utawala wa Kizayuni wa Israel ndio mvunjaji mkubwa wa haki za binadamu duniani
May 22, 2020 03:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ndio mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani.
-
Palestina yakataa misaada ya Imarati iliyotumwa kupitia Tel Aviv
May 22, 2020 03:32Mamlaka ya Ndani ya Palestina imekataa kupokea misaaada iliyotumwa nchini humo na Umoja wa Falme za Kiarabu kupitia uwanja wa ndege wa Tel Aviv.
-
Mbunge wa Tunisia: Jinai za Trump dhidi ya watu wa Palestina hazina mfano wake katika historia
May 21, 2020 22:13Mbunge wa Tunisia amesema kuwa jinai za Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya raia wa Palestina hazijawahi kushuhudiwa katika historia.
-
Takht-Ravanchi: Hotuba ya Kiongozi Muadhamu itapelekea kuangaziwa kadhia ya Palestina duniani
May 21, 2020 04:55Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu katika Umoja wa Mataifa amesema hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Siku ya Kimataifa ya Quds itaigeuza kadhia ya Palestina kuwa kadhia nambari moja duniani kinyume na jitihada zinazofanywa na Marekani na utawala wa Kizayuni.
-
Kiongozi Muadhamu: Tutaliunga mkono taifa lolote linalopambana na utawala wa Kizayuni
May 21, 2020 03:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran italiunga mkono taifa lolote lile linalosimama kidete dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mjumbe wa UN: Israel inapaswa kuacha vitisho vya 'kupora ardhi za Wapalestina'
May 21, 2020 03:18Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Asia Magharibi ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel utupilie mbali mpango wake wa kunyakua na kuunganisha baadhi ya maeneo ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi zingine za Palestina unazozikalia kwa mabavu.