-
Siku ya Kimataifa ya Quds, siku ya ushindi wa heshima dhidi ya udhalili
May 20, 2020 22:33Miaka 41 iliyopita, Imam Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliitangaza Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Palestina yafuta makubaliano yote iliyofikia na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel
May 19, 2020 22:36Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amefuta makubaliano yote yaliyofikiwa kati ya mamlaka hiyo na Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Naibu wa Sheikh Zakzaky: Kadhia ya Palestina ni ya kidini, kiutu na kiakhlaqi kwa bara Afrika
May 18, 2020 22:55Naibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kadhia ya Palestina si tu suala la kidini, bali pia ni suala la kiutu na kiakhlaqi kwa mataifa ya Afrika.
-
Kamati ya Bunge la Iran yaidhinisha muswada dhidi ya utawala wa Kizayuni
May 18, 2020 05:30Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiisalmu (Bunge la Iran) imeidhinisha muswada wa namna ambavyo Iran itakabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika upeo wa kitaifa na kimataifa.
-
Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu: Marekani inabeba jukumu la uvamizi mpya wa Israel dhidi ya ardhi za Palestina
May 17, 2020 07:54Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu imetangaza kuwa, serikali ya Marekani inabeba dhima ya mipango ya utawala haramu wa Israel ya kupora na kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Jordan yatahadharisha kuhusu mapigano iwapo Israel itateka maeneo ya Ukingo wa Magharibi
May 16, 2020 03:28Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan ameutahadharisha utawala wa Israel kuwa utaraji mapigano makubwa iwapo utasonga mbele na mpango wake wa kuteka zaidi ardhi za Palestina katika Ukingo wa Magharibi na Bonde la Jordan.
-
Ofisi ya Sheikh Zakzaky: Israel ni COVID ya mwaka 1948
May 15, 2020 22:34Ofisi ya Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetoa ujumbe kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuasisiwa utawala pandikizi wa Kizayuni uliopachikwa jina bandia katika ardhi walizoporwa Wapalestina na kusema kuwa, Israel ni "COVID-1948."
-
Jihadul Islami: Haki ya taifa la Palestina si ya kupigwa mnada
May 15, 2020 21:59Harakati ya Muqawama ya Jihadul-Islami ya Palestina imesema kwamba, haki ya taifa la Palestina si ya kupigwa mnada wala kutolewa zawadi na kwamba na njia pekee ya kufikia usalama, ni kuondoka wavamizi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina.
-
Wapalestina wakusanyika Nablus, Ufukwe wa Magharibi kupinga safari ya Pompeo
May 15, 2020 03:40Wananchi wa Palestina wamekusanyika katika mji wa Nablus ulioko kaskazini mwa Ufukwe wa Magharibu wa Mto Jordan kupinga safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo katika ardhi zao zinazokaliwa kwa mabavu zilizopewa jina la 'Israel'.
-
Rouhani: Jamii ya kimataifa inapaswa kukomesha jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 14, 2020 19:59Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jamii ya kimataifa ina wajibu wa kuchukua hatua za kivitendo za kukomesha jinai dhidi ya binadamu, ukandamizaji na dhulma wanazofanyiwa Wapalestina na utawala wa Kizayuni wa Israel.