-
Baraza la Usalama lalaani Mpango wa Israel wa kuteka ardhi za Palestina
Feb 05, 2020 04:23Baraza la Usalama lalaani Mpango wa Israel wa kuteka ardhi za Palestina
-
EU yapinga njama za Trump dhidi ya Wapalestina
Feb 05, 2020 01:16Umoja wa Ulaya umepinga mpango uliopendekezwa na Rais Donald Trump wa Marekani ambao unakandamiza haki za taifa la Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne" ukisisitiza kuwa, mpango huo unakanyaga sheria za kimataifa.
-
Jumuiya ya Maulama wa Palestina yaharamisha kushirikiana na "Muamala wa Karne"
Feb 02, 2020 09:48Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu wa Palestina imetangaza kuwa, ni haramu kushiriki katika utekelezaji wa mpango wa kibaguzi uliopendekezwa na Marekani na Wazayuni kwa ajili ya kadhia ya Palestina.
-
Arab League yapinga "Muamala wa Karne", yatoa onyo kali kwa Israel
Feb 02, 2020 07:28Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) wamepinga mpango eti wa amani uliopendekelezwa na Marekani kwa ajili ya mgogoro wa Wapalestina na utawala wa kizayuni wa Israel maarufu kwa jina la "Muamala wa Karne".
-
Rouhani: Muamala wa Karne ni muamala wa fedheha na chuki
Feb 02, 2020 04:08Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja 'Muamala wa Karne' kama mpango wa Marekani wa kufedhehesha, aibu na wenye kuchukiza.
-
Kikosi cha Quds cha IRGC kuendelea kuwaunga mkono Wapalestina
Feb 02, 2020 03:58Kamanda mpya wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuwaunga mkono Wapalestina na kuhakikisha kuwa ndoto zao za kuwa taifa huru zinafanikiwa.
-
Mamia waandamana Tel Aviv na London kupinga 'Muamala wa Karne'
Feb 02, 2020 03:51Mamia ya watu wamefanya maandamano katika barabara za mji mkuu wa utawala haramu wa Israel, Tel Aviv kulaani "Muamala wa Karne" uliozinduliwa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani, anayedai kuwa mapendekezo yaliyomo kwenye mpango huo ghalati yataleta suluhu ya amani ya mgogoro baina ya Israel na Palestina.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yasema haitaacha kuwaunga mkono Wapalestina
Feb 01, 2020 09:40Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amekosoa tangaza la mpango wa Marekani na Israel ambao ni maarufu kama 'muamala wa karne' kwa ajili ya kutatua kadhia ya Palestina na kusema nchi za Kiarabu katu hazitaliacha taifa la Palestina peke yake.
-
Jumamosi, Mosi Februari, 2020
Jan 31, 2020 21:47Leo ni Jumamosi tarehe 6 Mfunguo Tisa Jamad al-Thani 1441 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Februari 2020 Miladia.
-
Wapalestina kadhaa wajeruhiwa baada ya askari wa Israel kuuhujumu Msikiti wa Al Aqsa
Jan 31, 2020 11:38Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo na kuwajeruhi Wapalestina kadhaa waliokuwa wamefika hapo kwa ajili ya Sala ya Ijumaa.