-
Ubalozi wa Palestina wafunguliwa rasmi jijini London
Jan 06, 2026 03:38Ubalozi wa Palestina umefunguliwa rasmi jijini London, takriban miezi minne baada ya Uingereza kutangaza kuitambua Nchi ya Palestina.
-
Mkuu wa haki za binadamu wa UN ataka kusitishwa mpango wa Israel wa kuhalalisha kunyongwa Wapalestina
Jan 03, 2026 23:11Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Israel kusitisha mipango yake ya kutoa hukumu za kifo za lazima kwa Wapalestina na kutahadharisha kuwa pendekezo hilo linakiuka sheria za kimataifa.
-
2025, mwaka mbaya zaidi kwa Wapalestina kufuatia mauaji ya kimbari ya Israel
Jan 01, 2026 08:51Ofisi Kuu ya Takwimu ya Palestina imeripoti kuwa mwaka 2025 ulikuwa mwaka mbaya zaidi katika uga wa kibinadamu na idadi ya jamii ya watu huko Palstina kutokana na vita vya Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na kuongezeka kwa ukiukaji wa sheria katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, ikiwa ni pamoja na Quds Mashariki.
-
Russia yasisitiza haja ya kuundwa taifa huru la Palestina
Dec 28, 2025 03:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema kwamba, Moscow ingali inaunga mkono suuala la kuanzishwa kwa taifa huru la Palestina.
-
Taasisi za Palestina: Maelfu ya wafungwa wanateswa katika magereza ya Israel
Dec 27, 2025 02:31Asasi mbili za Kipalestina yametangaza kwamba, zaidi ya mateka na wafungwa 9,300 wa Palestina wanaoshikiliwa katika magereza na vituo vya kuzuiliwa vya Israel wanakabiliwa na "mateso yaliyopangwa."
-
Waziri wa Vita: Israel kamwe haitaondoka Ukanda wa Gaza
Dec 26, 2025 08:22Israel Katz Waziri wa Vita wa Israel amesisitiza kuwa Tel Aviv "kamwe haitaondoka " Gaza, na kwamba watajenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kaskazini mwa ukanda huo, hatua ambayo ni kinyume na makubaliano ya kusitisha mapigano.
-
Alkhamisi 25 Disemba, 2025
Dec 26, 2025 04:04Leo ni Alkhamisi tarehe 4 Rajab 1447 Hijria sawa na 25 Disemba 2025.
-
Nchi 14 zikiwemo za EU zalaani mpango wa ujenzi haramu Ukingo wa Magharibi
Dec 25, 2025 03:10Kundi la nchi 14 zikiwemo za Ulaya limetoa taarifa ya pamoja ya kulaani vikali uamuzi wa Israel wa kuanzisha ujenzi mpya wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu, na kuitaja hatua hiyo kuwa ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Mwanaharakati Muaustralia aliyesilimu kutokana na Palestina: Nashangaa watu wote si Waislamu
Dec 24, 2025 02:48Robert Martin, mwandishi na mwanaharakati Muaustralia mtetezi na muungaji mkono wa Palestina, ambaye amesilimu hivi karibuni amesema, uungaji mkono wake kwa Palestina na safari yake ya kiimani kuelekea kwenye dini tukufu ya Uislamu vimechochewa na miaka kadhaa ya uanaharakati na tajiriba aliyopata katika safari za misafara ya meli za Uhuru, ambazo zimejaribu kuvunja kizuizi kilichowekwa na Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Mufti wa Al-Azhar: Kiwango cha dhulma ilichofikia kadhia ya Palestina hakimruhusu mtu kubaki njiapanda
Dec 23, 2025 23:09Taasisi kubwa zaidi ya Kiislamu nchini Misri ya Al-Azhar imesema, piganio la haki la Palestina limefikia kiwango cha dhulma na ukandamizwaji ambacho hakimruhusu mtu kubaki njiapanda na kudai kuwa haegemei upande wowote.