Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Balozi wa Palestina Uingereza: Nchi ya Palestina ipo, imekuwepo siku zote na itaendelea kuwepo daima

    Balozi wa Palestina Uingereza: Nchi ya Palestina ipo, imekuwepo siku zote na itaendelea kuwepo daima

    Sep 22, 2025 09:17

    Balozi wa Palestina nchini Uingereza Husam Zomlot amesema, nchi ya Palestina ipo, imekuwepo siku zote na itaendelea kuwepo daima.

  • Kwa nini Tel Aviv inaogopa kutambuliwa rasmi nchi huru ya Palestina?

    Kwa nini Tel Aviv inaogopa kutambuliwa rasmi nchi huru ya Palestina?

    Sep 22, 2025 07:50

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limejiweka kwenye hali ya tahadhari kukabiliana na matukio yanayoweza kutokea baada ya baadhi ya nchi za Magharibi kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina.

  • Uingereza inamngojea Trump amalize ziara yake ndipo itangaze kulitambua Dola la Palestina

    Uingereza inamngojea Trump amalize ziara yake ndipo itangaze kulitambua Dola la Palestina

    Sep 18, 2025 06:42

    Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama Dola mwishoni mwa wiki hii baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhitimisha ziara yake ya kiserikali nchini humo. Hayo yamefichuliwa na gazeti la The i Paper likivinukuu vyanzo vya serikali.

  • Luxembourg kuitambua Palestina katika Mkutano Mkuu wa UN

    Luxembourg kuitambua Palestina katika Mkutano Mkuu wa UN

    Sep 16, 2025 08:37

    Serikali ya Luxembourg imetangaza mpango wake wa kulitambua taifa la Palestina, na hivyo kuungana na mataifa mbalimbali ya Ulaya ambayo yanatarajiwa kutoa tamko sawa na hili katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa baadaye mwezi huu.

  • Namna Ghaza inavyowabebesha jinamizi la kiafya wanajeshi wa Israel

    Namna Ghaza inavyowabebesha jinamizi la kiafya wanajeshi wa Israel

    Sep 15, 2025 22:47

    Makumi ya wanajeshi wa utawala wa wa Kizayuni wa Israel waliovamia Ghaza wameambukizwa magonjwa ya ngozi ya kuambukiza.

  • Je, dunia mara hii ina nia ya kufanikisha kuasisiwa nchi huru ya Palestina?

    Je, dunia mara hii ina nia ya kufanikisha kuasisiwa nchi huru ya Palestina?

    Sep 13, 2025 07:52

    Katika hatua ya kihistoria, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio lililopendekezwa na Ufaransa na Saudi Arabia, na kutangaza kuunga mkono kuanzishwa kwa nchi huru la Palestina na kutekelezwa njia ya ufumbuzi wa serikali mbili.

  • UNGA laidhinisha kwa wingi mkubwa sana wa kura

    UNGA laidhinisha kwa wingi mkubwa sana wa kura "Azimio la New York" la kuundwa Dola la Palestina

    Sep 12, 2025 23:41

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limepitisha kwa wingi mkubwa sana wa kura "Azimio la New York" linalotoa mwongozo wa kuchukuliwa "hatua zinazoonekana, katika muda maalumu na zisizoweza kutenduliwa" kuelekea kwenye uundwaji wa Dola la Palestina.

  • Netanyahu aapa hakutakuwa na Dola la Palestina, asisitiza ardhi yote ni milki ya wazayuni

    Netanyahu aapa hakutakuwa na Dola la Palestina, asisitiza ardhi yote ni milki ya wazayuni

    Sep 12, 2025 06:58

    Waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuwa, hakutakuwa na dola la Palestina, na kusisitiza kwamba ardhi zote za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo haramu ni milki ya wazayuni.

  • Bunge la Ulaya lataka kutambuliwa rasmi Palestina Huru

    Bunge la Ulaya lataka kutambuliwa rasmi Palestina Huru

    Sep 12, 2025 03:07

    Bunge la Ulaya limepasisha azimio likielezea wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya Ukanda wa Gaza, na kuzitaka nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kuliweka suala la kutambuliwa taifa huru la Palestina kwenye ajenda.

  • Uhispania yamuita nyumbani balozi wake wa Israel

    Uhispania yamuita nyumbani balozi wake wa Israel

    Sep 10, 2025 03:10

    Vyombo vya habari vya Uingereza vimeripoti kuwa Uhispania imemuita tena balozi wake katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) ikilalamikia sera za mauaji za Israel katika Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS