Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Netanyahu na jeshi la kizayuni watoa vitisho vikali kwa Wapalestina: Ondokeni Ghaza sasa hivi!

    Netanyahu na jeshi la kizayuni watoa vitisho vikali kwa Wapalestina: Ondokeni Ghaza sasa hivi!

    Sep 09, 2025 06:58

    Waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ametishia kile anachokiita operesheni kali ya ardhini katika mji wa Ghaza, huku akitoa vitisho kwa Wapalestina walioko katika mji huo kwa kuwataka waondoke sasa hivi.

  • Uhispania yataka Israel ifukuzwe kwenye mashindano ya baiskeli

    Uhispania yataka Israel ifukuzwe kwenye mashindano ya baiskeli

    Sep 06, 2025 07:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania ameunga mkono wito wa kuondolewa timu ya waendesha baiskeli ya Israel kwenye mashindano ya mchezo huo yanayoendelea, kufuatia maandamano na malalamiko ya waungaji mkono wa Palestina nchini humo.

  • Mkurugenzi wa klabu ya michezo ya Gaza auawa katika shambulilo la Israel akisubiri misaada

    Mkurugenzi wa klabu ya michezo ya Gaza auawa katika shambulilo la Israel akisubiri misaada

    Sep 02, 2025 07:50

    Shambulizi la anga la Israel ambalo lililenga umati wa watu waliokuwa wakisubiri misaada ya kibinadamu kaskazini mwa Gaza limemuua pia Louay Estita, Mkurugenzi wa Klabu ya Michezo ya Gaza.

  • Msimamo wa karibuni wa Malaysia kuhusiana na utawala wa kizayuni na jinai unazofanya Ghaza

    Msimamo wa karibuni wa Malaysia kuhusiana na utawala wa kizayuni na jinai unazofanya Ghaza

    Sep 01, 2025 03:54

    Malaysia imeitaka Jamii ya Kimataifa isimamishe uwanachama wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Umoja wa Mataifa na kuuwekea vikwazo vikali utawala huo ghasibu.

  • US yawazuia viongozi wa PLO na PA kuhudhuria UNGA huku nchi zikijiandaa kuitambua Palestina

    US yawazuia viongozi wa PLO na PA kuhudhuria UNGA huku nchi zikijiandaa kuitambua Palestina

    Aug 30, 2025 02:23

    Marekani imebatilisha rasmi viza za maafisa wa Palestina, na kuwazuia kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNGA) utakaofanyika mwezi ujao wa Septemba mjini New York, makao makuu ya umoja huo, hatua ambayo inakuja wakati nchi kadhaa za Magharibi zinajiandaa kuitambua nchi ya Palestina.

  • Waislamu Nigeria wataka kuachiwa huru kiongozi wa Palestina

    Waislamu Nigeria wataka kuachiwa huru kiongozi wa Palestina

    Aug 28, 2025 22:54

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imelaani vikali hatua ya polisi ya Nigeria kumkata kiongozi wa Jumuiya ya Wapalestina katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi, Ramzy Abu Ibrahim, ikisisitiza kuwa kukamatwa huko kunafungamana na makubaliano ya hivi karibuni ya usalama kati ya Nigeria na utawala wa Israel.

  • WHO: Zaidi ya watu 15,600 wakiwemo watoto 3,800 wanahitaji kuondolewa haraka Gaza kwa ajili ya matibabu

    WHO: Zaidi ya watu 15,600 wakiwemo watoto 3,800 wanahitaji kuondolewa haraka Gaza kwa ajili ya matibabu

    Aug 24, 2025 08:23

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameeleza kuwa watu zaidi ya 15,600 katika Ukanda wa Gaza, wakiwemo watoto 3,800, wanahitaji kuondolewa haraka katika eneo hilo lililokumbwa na vita ili kupata huduma maalumu ya matibabu.

  • Utapiamlo, si Leukemia: Madaktari wa Italia wapinga madai ya Israeli kuhusu kifo cha mwanamke Mpalestina

    Utapiamlo, si Leukemia: Madaktari wa Italia wapinga madai ya Israeli kuhusu kifo cha mwanamke Mpalestina

    Aug 19, 2025 08:04

    Madaktari wa Italia wamehoji madai yaliyotolewa na utawala wa Israel kwamba mwanamke Mpalestina ameaga dunia kwa ugonjwa wa Leukemia; na badala yake wamesema mwanamke huyo Mpalestina amepoteza maisha kutokana na utapiamlo mkali baada ya kuwasili Italia akitokea Gaza.

  • Kwa nini maandamano yameshadidisha hali mbaya ya mgogoro Israel?

    Kwa nini maandamano yameshadidisha hali mbaya ya mgogoro Israel?

    Aug 19, 2025 06:56

    Mgogoro wa hivi sasa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) na kushadidi maandamano yanaashiria kudhoofika muundo wa kisiasa na kiusalama wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Uruguay yafunga ofisi yake Quds kuonyesha mshikamano na Gaza

    Uruguay yafunga ofisi yake Quds kuonyesha mshikamano na Gaza

    Aug 17, 2025 23:24

    Serikali ya Uruguay imeamua kusitisha makubaliano ya ushirikiano yaliyotiwa saini mwezi Disemba mwaka jana 2024 kati ya Wakala wa Kitaifa wa Utafiti na Ubunifu wa Uruguay na chuo kikuu cha Israel huko Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu, sanjari na kufunga Ofisi yake ya Ubunifu mjini Jerusalem ili kuonyesha mshikamano na Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS