Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Kufikishwa salamu za maneno za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Papa Francis

    Kufikishwa salamu za maneno za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Papa Francis

    Jun 02, 2022 07:25

    Ayatullah Alireza Arafi Mkurugenzi wa Vyuo vya Kidini, Hawza nchini Iran amemfikishia Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani salamu za maneno za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, alipokutana na kuzungumza na Papa mjini Vatican.

  • Wanajeshi wa Israel wampiga risasi na kumuua mwanamke Mpalestina

    Wanajeshi wa Israel wampiga risasi na kumuua mwanamke Mpalestina

    Jun 01, 2022 05:45

    Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamempiga risasi na kumuua shahidi mwanamke Mpalestina kwa kisingizio kuwa eti alikuwa analenga kutekeleza shambulizi la kujitolea kufa shahidi.

  • Hamas: Mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni yanaendelea hadi mwisho

    Hamas: Mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni yanaendelea hadi mwisho

    May 31, 2022 03:04

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yataendelea hadi wavamizi hao wa ardhi za Palestina na za Waislamu watakapotimuliwa kikamilifu katika ardhi hizo.

  • Ansarullah yawapongeza Wapalestina kwa kusimama kidete kuulinda Msikiti wa al Aqsa

    Ansarullah yawapongeza Wapalestina kwa kusimama kidete kuulinda Msikiti wa al Aqsa

    May 30, 2022 05:49

    Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imelipongeza taifa la Palestina kwa kusimama kiume kukihami na kukilinda Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Msikiti wa al Aqsa katika siku ya "Maandamano ya Bendera."

  • Khatibu wa Msikiti nwa al-Aqswa:

    Khatibu wa Msikiti nwa al-Aqswa: "Maandamano ya Bendera" katu hayataingia Masjidul-Aqswa

    May 28, 2022 22:55

    Khatibu wa Masjidul-Aqswa amesema kuwa, uamuzi wa Wazayuni wa kufanya "Maandamano ya Bendera" ni hatua ya kichochezi na amesisitiza juu ya udharura wa kuchukuliwa hatua ya kuwazuia Wazayuni hao kuingia katika msikiti matakatifu wa al-Aqswa.

  • Mwaka mmoja baada ya Vita vya Seif al-Quds

    Mwaka mmoja baada ya Vita vya Seif al-Quds

    May 21, 2022 05:58

    Mwaka mmoja umepita tangu kutokea Vita vya Seif al-Quds. Licha ya kupita mwaka mmoja tangu kumalizika vita hivyo, lakini natija ya vita hivyo haijaishia katika siku 12 tu za vita hivyo.

  • Khalid Mash'al: Palestina haitaruhusu kutekelezwa njama za kuiyahudisha Masjdul-Aqswa

    Khalid Mash'al: Palestina haitaruhusu kutekelezwa njama za kuiyahudisha Masjdul-Aqswa

    May 18, 2022 03:17

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nje ya nchi amesisitiza kuwa, Msikiti wa al-Aqswa ni eneo la kidini na ni la Kiislamu kikamilifu na kwamba, wananchi wa Palestina hawataruhusu kutekelezwa njama chafu za kuliyahudisha eneo hilo takatifu.

  • Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ayataka mataifa ya dunia yaisusie Israel

    Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ayataka mataifa ya dunia yaisusie Israel

    May 16, 2022 22:02

    Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameyataka mataifa yote ya dunia kupasisha miswaada ya kuususia utawala ghasibu wa Israel unaotenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Miaka 74 baada ya Siku ya Nakba

    Miaka 74 baada ya Siku ya Nakba

    May 16, 2022 06:23

    Miaka 74 iliyopita, utawala haramu na bandia wa Kizayuni wa Israel ulitangaza uwepo wake baada ya kufanya jinai kadhaa za kinyama dhidi ya Wapalestina.

  • Iran: Njia pekee ya kupatikana haki za Wapalestina ni serikali na wananchi wa mataifa ya Waislamu kuunga mkono Muqawama

    Iran: Njia pekee ya kupatikana haki za Wapalestina ni serikali na wananchi wa mataifa ya Waislamu kuunga mkono Muqawama

    May 14, 2022 00:16

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa kuwadia kumbukumbu ya Siku ya Nakba na kusisitiza kuwa, wananchi na viongozi wa mataifa ya Waislamu inapasa watambue kuwa njia pekee ya kupatikana haki za watu wa Palestina ni kuwepo umoja na mshikamano wa Kiislamu na uungaji mkono wa serikali na wananchi wa mataifa ya Waislamu pamoja na watetezi wa ukombozi duniani kwa Muqawama wa kukabiliana na maghasibu na watumiaji mabavu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS