-
Karbala wakati huu wa kukaribia Arubaini ya Imam Husain AS 1438 Hijria (2016)
Nov 09, 2016 09:17Picha mbalimbali za Waislamu na wapenzi wa Ahlul Bayt wa Bwana Mtume Muhammad SAW wakijiandaa kwa ajili ya Arubaini ya Imam Husain AS ambayo itasadifiana na tarehe 21 Novemba 2016 kwa mujibu wa kalenda ya Iraq.
-
Picha za baadhi ya ndege zilizotengenezwa na Iran baada ya kuziteka kutoka kwa Marekani na Israel
Oct 02, 2016 10:52Hapa tumekuwekeeni baadhi ya picha zinazoonesha ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran baada ya kuziteka kutoka kwa Wamarekani na utawala wa Kizayuni wa Israel, baada ya ndege hizo kujipenyeza katika anga ya Iran na kutekwa nyara.
-
Kiongozi Muadhamu akitoa darsa khariji ya fikihi (katika picha)
Sep 06, 2016 10:10Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo asubuhi (Jumanne) ameendelea na darsa zake za "Khariji" ya fikihi (darsa ya daraja la juu kabisa ya fikihi) kwa mnasaba wa kuanza mwaka wa masomo wa Hawza, vyuo vikuu vya kidini nchini Iran. Hapa ni baadhi ya picha zilizopigwa wakati wa darsa hiyo.
-
Maisha ni matamu hata kwa wanyama
Jun 28, 2016 08:56Kila kiumbe kinapenda maisha yake. Mbuni huyu wa huko kusini mwa California nchini Marekani aliamua kutimua mbio kuokoa maisha yake baada ya kuona msitu anaoishi unateketea kwa moto.
-
Kisomo cha Qur'ani, Mash'had, Iran
Jun 28, 2016 08:51"Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi." Kisomo cha Qur'ani tukufu katika Haram ya Imam Ridha AS, mjini Mash'had Iran. Kila siku inahitimishwa juzuu moja ya Qur'ani.
-
Ramadhani, mwezi wa Qur'ani
Jun 28, 2016 08:33Wanajeshi wanamaji wa Iran, wanaadhimisha nyakati za mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa ibada mbalimbali. Hizi ni baadhi ya picha za jalsa ya kusoma Qur'ani iliyohudhuriwa na Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Admeli Habibullah Sayyari.
-
Wakati Rais wa nchi anapokula futari katika mstari wa mbele vitani
Jun 28, 2016 08:19Rais Bashar al Assad wa Syria hivi karibuni alikagua vikosi vya mstari wa mbele vya jeshi la nchi yake vinavyopambana na magaidi nje ya mji mkuu Damascus na kula futari nao. Hizi hapa baadhi ya picha hizo