-
Hizbullah: Kuvunjiwa heshima Quds ni matunda ya mchezo wa kudansi na upanga wa Trump na Salman
Jan 06, 2018 13:19Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Nabil Qaouk amezitaja siasa za Saudia kuwa za maafa na kuongeza kuwa, kitendo cha kuvunjiwa heshima mji wa Quds na msikiti wake kinatokana na mchezo wa kudansi na upanga wa Rais Donald Trump wa Marekani na Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudia.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yamjibu Trump: Quds haiuzwi
Jan 03, 2018 11:59Msemaji wa Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametoa jibu kwa kitisho kilichotolewa na rais wa Marekani cha kukata msaada wa fedha wa dola milioni 300 unaotolewa na nchi hiyo kwa Wapalestina kwa kusisitiza kwamba Quds si kitu cha kuuzwa kwa pesa.
-
Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa: Mji mkuu wa Palestina ni Quds Tukufu
Dec 31, 2017 00:00Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa amesisitiza kuwa, ulilmwengu unapaswa kufahamu kuwa, Quds Tukufu (Jerusalem) ni mji mkuu wa Palestina.
-
Harakati ya al-Nujabaa ya Iraq yatangaza utayarifu wake wa kuitetea Quds
Dec 30, 2017 23:59Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Iraq ya al-Nujabaa na ambayo ni sehemu ya Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchi hiyo ametangaza utayarifu wa harakati yake kwa ajili ya kuitetea Quds (Jerusalem).
-
Kikao cha Bunge la Nchi za Kiarabu kwa jina la Palestina, kwa maslahi ya Israel
Dec 29, 2017 11:56Bunge la Nchi za Kiarabu lilikutana jana Alkhamisi katika mji mkuu wa Misri, Cairo kwa kaulimbiu ya: Quds, Mji Mkuu wa Milele wa Palestina. Hata hivyo kikao hicho kilibadilika na kuwa mahfali na medani na nchi zinazouunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kongamano la Quds, Mji Mkuu wa daima wa Palestina
Dec 27, 2017 10:27Viongozi wa kisiasa wa Palestina wametangaza kuwa, Intifadha ya Wapalestina itaendelea hadi pale rais wa Marekani atakapobatilisha uamuzi wake wa kuitambua Quds Tukufu kama mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Shakhsia wa kisiasa wa Palestina: Intifadha inaendelea
Dec 27, 2017 00:20Viongozi kadhaa wa kisiasa wa Palestina wametangaza kuwa Intifadha ya Wapalestina itaendelea hadi utakapofutwa uamuzi uliotangazwa na rais wa Marekani wa kuitambua Baitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni.
-
Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu-2
Dec 26, 2017 13:16Hatua ya Rais Donald Tump wa Marekani ya kuitambua Quds (Baitul Muqaddas au Jerusalem) kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel kwa mara nyingine imeuweka mji huo mtakatifu kwa dini zote za Mwenyezi Mungu hususan Uislamu katika kurasa za mbele za magazeti na safu ya kwanza ya habari za vyombo vya mawasiliano ya umma kote duniani.
-
Palestina: Uamuzi wa Guatemala kuuhamishia ubalozi wake Quds ni 'fedheha'
Dec 26, 2017 04:00Palestina imekosoa vikali hatua ya Guatemala ya kuuhamishia ubalozi wake Quds Tukufu kutoka Tel Aviv na kukitaja kitendo hicho kama 'fedheha'.
-
Askofu wa Waarmenia Tehran: Wakristo hawaitambui Israel
Dec 26, 2017 00:58Askofu wa Kanisa la Armenia mjini Tehran amesisitiza kuwa, Wakristo hawatambui serikali inayojiita Israel.