-
Sura ya Ass 'Affat, aya ya 12-21 (Darsa ya 804)
Dec 19, 2018 09:56Wasikilizaji wapenzi wa Darsa ya Qur'ani, Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Bismillahir Rahmanir Rahim. Hamdu na sifa zote njema zinamstahikia Allah SW, na rehma na amani zimshukie Mtume wake Mtukufu na Aali zake watoharifu. Kwa taufiki yake Mola Karima aliyetupa uhai na uzima tumekutana tena katika mfululizo mwengine wa Darsa ya Qur'ani.
-
Sura ya Ass 'Affat, aya ya 1-6 (Darsa ya 802)
Dec 04, 2018 09:03Wasikilizaji wapenzi wa Darsa ya Qur'ani, Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Bismillahir Rahmanir Rahim. Hamdu na sifa zote njema zinamstahikia Allah SW, na rehma na amani zimshukie Mtume wake Mtukufu na Aali zake watoharifu. Kwa taufiki yake Mola Karima aliyetupa uhai na uzima tumekutana tena katika mfululizo mwengine wa Darsa ya Qur'ani.
-
Umoja na Udugu wa Kidini katika Qur'ani na Hadithi
Nov 26, 2018 12:37Suala la umoja katika umma wa Kiislamu, ni jambo lenye umuhimu mkubwa na ambalo limesisitizwa sana katika Qur'ani na Hadithi. Kinsingi ni kuwa umoja ni nguzo muhimu katika mafundisho ya Qur'ani na pia unachukuliwa kuwa moja ya misingi muhimu katika Hadithi za Mtume Muhammad (saw) na Ahlu Beit wake (as).
-
Nafasi ya Qur'ani Tukufu katika mapambano ya Imam Husain AS (1)
Sep 11, 2018 07:46Mapambano ya Karbala na Hamasa ya Imam Husain AS alikuwa ni mapinduzi ya kipekee ambayo yaliweza kwa haraka mno kushinda mapinduzi mengine yote, kuwafedhehesha madhalimu, kufichua uovu wao na kusafisha vumbi la propaganda chafu lililokuwa limefunika uhakika wa dini tukufu ya Kiislamu.
-
Al Azhar yalaani wito wa kufutwa aya za Qur'ani
Jun 12, 2018 08:17Sheikh Mkuu wa Al Azhar nchini Misri, Ahmad Tayyib amekosoa vikali wito uliotolewa na kundi la eti wasomi na wanasiasa wa Ufaransa wa kufutwa aya za Qur'ani tukufu.
-
Mkuu wa Kituo cha Kiislamu UK: Kwa mtazamo wa Imam Khomeini, Qur'ani imeleta ujumbe wa umoja
Jun 03, 2018 15:02Mkuu wa Kituo cha Kiislamu nchini Uingereza ameashiria Wasia wa Kimaanawi na Kisiasa wa Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kueleza kwamba, kwa mtazamo wa kiongozi huyo Qur'ani imeleta ujumbe wa amani na umoja kwa jamii ya wanadamu.
-
Mwaliko wa Ramadhani
May 28, 2018 12:14Waashiki wa Qur'ani Tukufu hukikaribia zaidi kitabu hiki cha mbinguni katika mwezi huu mtukufu na kuzipa nyoyo zao msisimuko na uhai mpya kwa kusoma, kujifunza na kudiriki maarifa yake.
-
Waislamu, Wakristo Uganda walalamikia kutozwa ushuru Misahafu, Biblia
May 15, 2018 14:14Viongozi wa kidini nchini Uganda wamekosoa vikali hatua ya Mamlaka ya Kukusanya Ushuru nchini humo URA kuanza kutoza ushuru wa forodha suhula za kidini zinazoingizwa nchini humo kama nakala za Qurani na Biblia.
-
Erdogan: Shakhsia wanaoiponda Qur'ani Ufaransa hawana ufahamu nayo
May 09, 2018 02:57Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amelitaja kundi la shakhsia 300 wa Ufaransa wanaotaka kuondolewa baadhi ya aya katika kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa madai kuwa ni za kichochezi na zilizopitwa na wakati kuwa ni genge lisilo la maana na linalopaswa kutwezwa.
-
Mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran +Video
May 01, 2018 17:32Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya Iran yalimalizika Jumatano 15 Aprili hii huku kukitolewa wito wa Umoja na kushikamana na Qur'ani Tukufu.