Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qur'ani Tukufu

  • Waziri wa Utamaduni wa Iran: Ujumbe wa Qur'ani ni ujumbe wa Muqawama na Jihadi

    Waziri wa Utamaduni wa Iran: Ujumbe wa Qur'ani ni ujumbe wa Muqawama na Jihadi

    Feb 16, 2024 07:55

    Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema, ujumbe wa Qur'ani ni ujumbe wa Muqawama na Jihadi.

  • Kupambana na Utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mtazamo wa Uislamu

    Kupambana na Utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mtazamo wa Uislamu

    Nov 09, 2023 11:27

    Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho leo kinaangazia mtazamo wa dini ya Kiislamu kuhusu kujilinda na kukabiliana na ukandamizaji, uchokozi na uvamizi.

  • UN: Kuchoma moto Qur'ani kunalenga kuzusha mizozo baina ya jamii na nchi

    UN: Kuchoma moto Qur'ani kunalenga kuzusha mizozo baina ya jamii na nchi

    Oct 05, 2023 03:21

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amelaani wimbi la vitendo vya kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya.

  • Kiongozi Muadhamu azitaka nchi za Kiislamu kushikamana kukabiliana na mabeberu

    Kiongozi Muadhamu azitaka nchi za Kiislamu kushikamana kukabiliana na mabeberu

    Oct 03, 2023 12:25

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, baada ya madola ya kiistikbari na kibeberu kuhisi hatari kutokana na kuenea nguvu za mafundisho ya Qur'ani Tukufu, yameamua kuendesha kampeni za kukivunjia heshima Kitabu hicho Kitakatifu cha Mwenyezi Mungu.

  • OIC yalaani kuvunjiwa heshima Qur'ani, yaitaka Sweden kuzuia vitendo hivyo viovu

    OIC yalaani kuvunjiwa heshima Qur'ani, yaitaka Sweden kuzuia vitendo hivyo viovu

    Oct 02, 2023 15:13

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa wito mpya kwa serikali ya Sweden ikiitaka kuchukua hatua za haraka dhidi ya watu wanaochoma moto nakala za Qur'ani Tukufu, kwa sababu kitendo hicho ni chuki ya kidini.

  • Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Serikali ya Sweden lazima iheshimu kanuni za kimsingi za haki za binadamu

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Serikali ya Sweden lazima iheshimu kanuni za kimsingi za haki za binadamu

    Oct 01, 2023 13:46

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Serikali ya Sweden inatakiwa kujibu matakwa ya wazi kabisa ya Waislamu kwa kuwajibika na kufuata kikamilifu kanuni za kimsingi za haki za binadamu, kwa kuhimiza maadili na kuishi pamoja kwa amani wafuasi wa dini tofauti na kuchukua hatua za kivitendo na zenye ufanisi.

  • Askofu wa Lebanon: Kuvunjia heshima matukufu ya kidini ni uovu

    Askofu wa Lebanon: Kuvunjia heshima matukufu ya kidini ni uovu

    Sep 22, 2023 02:41

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiothodoksi la Jabal na Tripoli la Lebanon amelaani vitendo vya kuyavunjia heshima matukufu ya kidini na kusisitiza kuwa, kufanya vitendo hivyo ni jambo ovu.

  • Erdogan na Anwar Ibrahim walaani kuvunjiwa heshima Qur'ani katika nchi za Ulaya

    Erdogan na Anwar Ibrahim walaani kuvunjiwa heshima Qur'ani katika nchi za Ulaya

    Sep 21, 2023 03:49

    Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, na Waziri Mkuu wa Malaysia, Anwar Ibrahim, wamelaani vikali vitendo vya kuchomwa moto nakala za Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya, na hotuba zinazochochea ouvu, chuki na mashambulizi dhidi ya Uislamu na Waislamu.

  • Baraza la Haki za Binadamu la UN kujadili hujuma dhidi ya Qur'ani

    Baraza la Haki za Binadamu la UN kujadili hujuma dhidi ya Qur'ani

    Sep 12, 2023 03:14

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa linatazamiwa kufanya kikao hivi karibuni cha kujadili vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Magharibi.

  • Waislamu waghadhabishwa na kuchomwa moto Qur'ani Uholanzi

    Waislamu waghadhabishwa na kuchomwa moto Qur'ani Uholanzi

    Aug 19, 2023 10:28

    Waislamu katika kona zote za dunia wamehamakishwa na kitendo kingine cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu, mara hii katika mji wa The Hague nchini Uholanzi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS