-
Mapinduzi ya Kiislamu; Qur'ani, Umaanawi na Umoja
Feb 07, 2023 05:32Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mnaponitegea sikio wakati huu. Nakukaribisheni kwa moyo mkunjufu kusikiliza mfululizo mwingine wa vipindi hivi maalumu tulivyokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ambapo kwa leo tutazungumzia nafasi ya Qur'ani, Umaanawi, Uongozi wa Imam Khomeini na Umoja wa matabaka mbalimbali ya jamii ya Iran katika kufanikisha mapinduzi hayo. Endeleeni kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Waislamu waandamana Uholanzi kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani
Feb 06, 2023 11:07Waislamu nchini Uholanzi wamefanya maandamano katika mji wa Hague, kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini humo.
-
Waislamu Uingereza waandamana kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Jan 29, 2023 07:23Waislamu wa Uingereza wamekusanyika mbele ya uubalozi wa Sweden mjini London wakilaani kitendo kiovu cha nchi hiyo ya Ulaya cha kuruhusu kudhalilishwa na kuvunjiwa heshika kitabu kitakatifu cha Qur'ani.
-
Raisi: Kuivunjia heshima Qurani ni tusi kwa dini za mbinguni, utu
Jan 27, 2023 02:48Rais wa Iran amesema vitendo vya karibuni vya kuvunjia heshima Qurani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya ni tusi kwa dini zote za mbinguni zenye asili ya Nabii Ibrahim (AS), na kwa jamii yote ya wanadamu.
-
Kiongozi Muadhamu alaani vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya
Jan 26, 2023 05:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa taarifa kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya na kusisitiza kuwa: "Kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu kiwendawazimu chini ya nara ya 'uhuru wa maoni' ni ishara kuwa uistikbari unalenga Uislamu na Qur'ani Tukufu."
-
Nchi za Kiislamu zalaani kuvunjiwa heshima tena Qurani Uholanzi
Jan 25, 2023 11:48Mataifa na jumuiya za Kiislamu kote duniani zimelaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu nchini Uholanzi, siku chache baada ya kutokea uafriti mwingine wa kukichoma Kitabu hicho Kitakatifu cha Waislamu nchini Sweden.
-
"Sweden haiwezi kuficha chuki zake dhidi ya Uislamu kwa barakoa ya uhuru"
Jan 25, 2023 02:30Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden na kueleza kuwa, nchi hiyo ya Magharibi haiwezi kuficha chuki zake dhidi ya Uislamu kwa kutumia barakoa ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
-
Walimwengu waendelea kulaani kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchinii Sweden
Jan 23, 2023 07:14Wananchi wa mataifa mbalimbali ya Kiislamu na yasiyo ya Kiislamu wameendelea kulaani hatua ya kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Sweden.
-
Hizbullah, nchi za Kiislamu zalaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu Sweden
Jan 23, 2023 05:03Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imejiunga na nchi za Kiislamu duniani kulaani kitendo cha hivi punde zaidi cha kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini Sweden (Uswidi), na kusisitiza kuwa kuyavunjia heshima matukufu ya Umma wa Kiislamu ni jambo lisilokubalika.
-
Iran, Pakistan, Uturuki zalaani kuchomwa moto nakala ya Qurani Sweden
Jan 22, 2023 08:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejiunga na ulimwengu wa Kiislamu katika kulaani vikali kitendo cha kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Sweden.