Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Ufaransa yakiri makosa yake ya kushiriki katika mashambulio ya Libya

    Ufaransa yakiri makosa yake ya kushiriki katika mashambulio ya Libya

    Oct 10, 2021 22:58

    Akizungumza karibuni katika mji wa Montpellier na viongozi wa nchi za Kiafrika za eneo la Sahel, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekiri kwamba nchi yake ilifanya makosa kwa kushiriki katika mashambulio ya kijeshi yaliyofanyika dhidi ya Libya nwaka 2011.

  • Biden akiri kuhusu kubaki nyuma uchumi wa Marekani; dalili ya kuporomoka nchi hiyo

    Biden akiri kuhusu kubaki nyuma uchumi wa Marekani; dalili ya kuporomoka nchi hiyo

    Oct 07, 2021 21:09

    Akizungumza karibuni katika jimbo la Michigan, Rais Joe Biden wa Marekani amesema nchi nyingine za dunia ziko mbioni kuishinda Marekani katika nyanja nyingi. Amesema licha ya kuwa Marekani bado inauongoza ulimwengu kiuchumi lakini inaendelea kupoteza taratibu nafasi yake hiyo.

  • Rais wa Msumbiji ataka magaidi wajisalimishe baada ya kinara wao kuuawa

    Rais wa Msumbiji ataka magaidi wajisalimishe baada ya kinara wao kuuawa

    Oct 05, 2021 04:40

    Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ametoa mwito kwa magenge ya kigaidi kusalimu amri baada ya kinara wao kuuawa hivi karibuni kaskazini mwa nchi.

  • Maelfu waandamana kumuunga mkono Rais wa Tunisia

    Maelfu waandamana kumuunga mkono Rais wa Tunisia

    Oct 04, 2021 08:06

    Zaidi ya watu elfu tano wameshiriki maandamano ya kumuunga mkono Rais Kais Saied wa Tunisia anayetuhumiwa na upinzani kuhodhi madaraka yote ya utendaji ya nchi hiyo.

  • Waliouawa na corona Marekani wapindukia laki saba, sababu na athari zake

    Waliouawa na corona Marekani wapindukia laki saba, sababu na athari zake

    Oct 04, 2021 01:03

    Baada ya kupita yapata miaka miwili sasa tangu mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona ulipoikumba Marekani, idadi ya Wamarekani waliouawa na virusi hivyo imepindukia laki saba. Katika kipindi cha miezi mitatu na nusu iliyopita pekee zaidi ya Wamarekani laki moja wameaga dunia kutokana na Covid-19 licha ya kiwango kikubwa cha chanjo kilichotolewa nchini humo.

  • Juhudi za Biden za kujaribu kupunguza mvutano baina ya Marekani na Ufaransa

    Juhudi za Biden za kujaribu kupunguza mvutano baina ya Marekani na Ufaransa

    Sep 23, 2021 22:46

    Kufuatia mazungumzo ya simu ya Marais Joe Biden wa Marekani na Emmanuel Macron wa Ufaransa hapo siku ya Jumatano, viongozi hao wametoa taarifa ya pamoja wakisema wameamua kuendelea na mashauriano kwa ajili ya kutatua hitilifu zilizojitokeza baina ya pande mbili kuhusu mkataba wa kiusalama wa AUKUS.

  • Kukiri Biden kushindwa Marekani kukabiliana na al Qaida; kufeli vita vya kimataifa dhidi ya ugaidi

    Kukiri Biden kushindwa Marekani kukabiliana na al Qaida; kufeli vita vya kimataifa dhidi ya ugaidi

    Sep 13, 2021 07:37

    Rais wa Marekani, Joe Biden, siku ya Jumamosi na pembeni mwa sherehe za mwaka wa 20 wa tangu kutokea mashambulio ya Septemba 11 nchini Marekani, alikiri kwamba yumkini kundi la kigaidi la al Qaida likarejea tena Afghanistan na kusisitiza kuwa, Washington haiwezi kupeleka wanajeshi kila sehemu ilipo al Qaida.

  • Mwaka wa 20 tangu baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001

    Mwaka wa 20 tangu baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001

    Sep 11, 2021 05:09

    Jana ikiwa imebakia siku moja kabla ya kutimia mwaka wa 20 tangu baada ya mashambulizi ya Septemba 11 ambayo yaliua watu karibu elfu tatu, Rais Joe Biden wa Marekani alitoa ujumbe akitaka kuwepo umoja na mshikamano wa kitaifa nchini Marekani.

  • Wanajeshi wadai kufanya mapinduzi nchini Guinea Conakry; wamtia mbaroni Rais Alpha Conde

    Wanajeshi wadai kufanya mapinduzi nchini Guinea Conakry; wamtia mbaroni Rais Alpha Conde

    Sep 05, 2021 22:49

    Wanajeshi wa Guinea wamejitokeza katika runinga ya taifa wakithibitisha kwamba rais Alpha Conde ameondolewa madarakani. Hata hivyo Serikali imesema imerejesha hali ya utulivu

  • Onyo la Putin kwa Marekani kwa kuweka mifumo ya makombora katika mpaka wa Russia na Japan

    Onyo la Putin kwa Marekani kwa kuweka mifumo ya makombora katika mpaka wa Russia na Japan

    Sep 05, 2021 22:30

    Rais Vladimir Putin wa Russia ameelezea wasiwasi wake kuhusu mpango wa Marekani wa kuweka mifumo yake ya kujilinda kwa makombora katika mpaka wa Russia na Japan na ameitaka Tokyo isiruhusu kufanyika jambo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS