-
Anayedaiwa kujaribu kumuua Rais wa Mali afia korokoroni
Jul 26, 2021 07:57Mshukiwa anayedaiwa kujaribu kumuua Rais wa mpito wa Mali Assimi Goïta kwa kumchoma kisu katika mji mkuu Bamako siku chache zilizopita, ameaga dunia akiwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
-
Bunge la Ufaransa lapitisha muswada wa chuki dhidi ya Uislamu
Jul 25, 2021 22:07Bunge la Ufaransa Ijumaa lilipitisha muswada wenye chuki na ulio dhidi ya Uislamu uliopewa jina la eti 'mapambano dhidi ya wanaotaka kujitenga' licha ya kuwepo upinzani wa vyama kadhaa vya mrengo wa kushoto dhidi ya muswada huo.
-
Emmanuel Macron, mhanga wa ujasusi wa Wazayuni kupitia programu ya Pegasus
Jul 23, 2021 03:52Gabriel Attal, Msemaji wa Serikali ya Ufaransa alisema Alhamisi kuwa Rais Emmanuel Macron aliitisha kikao cha Baraza la Ulinzi siku hiyo hiyo kwa ajili ya kuchunguza na kujadili ujasusi uliofanywa dhidi yake kupitia programu ya Kizayuni ya Pegasus.
-
Kikao cha viongozi wa Ufaransa na kundi la nchi tano za Sahel
Jul 11, 2021 03:52Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameonana na wakuu wa nchi tano za eneo la Sahel ya Afrika ambazo ni Chad, Mali, Burkina Faso, Mauritania na Niger. Ingawa kikao hicho kimefanyika kwa njia ya Intaneti, lakini Rais Mohammad Bazoum wa Niger yeye ameshiriki kikao hicho akiwa ziarani nchini Ufaransa.
-
Hatua mpya ya Russia ya kuachana na utegemezi wa sarafu ya dola
Jul 09, 2021 05:20Wizara ya Fedha ya Russia imetangaza kuwa, imeondoa kikamilifu sarafu ya dola kwenye Mfuko wa Hazina ya Taifa wa nchi hiyo uliokuwa na akiba ya takriban dola bilioni 65 na kuzibadilisha fedha hizo katika sarafu nyingine za kigeni.
-
Rais wa Uganda ataka kuimarisha uhusiano wa nchi yake na serikali mpya ya Iran
Jul 04, 2021 09:04Rais wa Uganda amemtumia ujumbe Rais mteule wa Iran, Sayyid Ebrahim Raeisi akimpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran; huku akieleza kuwa Kampala ipo tayari kuimarisha uhusiano wake na serikali ijayo ya Tehran.
-
Marais wa Malawi na Mauritania wamtumia Raeisi salamu za pongezi
Jun 30, 2021 22:56Marais wa nchi za Afrika za Malawi na Mauritania wamemtumia ujumbe Rais mteule wa Iran, Hujjatul Islam Walmuslimin Ebrahim Raeisi wakimpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mahakama Afrika Kusini yamhukumu Zuma zaidi ya mwaka mmoja jela
Jun 29, 2021 21:55Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, ambaye kesi yake ya ufisadi inaendelea, amehukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani kwa kudharau korti.
-
Safari ya kwanza ya Joe Biden barani Ulaya, mshikamano wa pande mbili za Atlantic na tahadhari kwa Russia
Jun 10, 2021 21:36Rais Joe Biden wa Marekani Jumatano wiki hii aliekelea barani Ulaya ikiwa safari yake ya kwanza nje ya nchi baada ya kushika hatamu za uongozi.
-
Kuzabwa kibao Macron, kielelezo cha malalamiko ya wananchi na mgawanyiko wa kisiasa na kijamii Ufaransa
Jun 10, 2021 08:28Katika matamshi yake ya kwanza kuhusu safari yake kwenye eneo la Ladrum huko Kusini Mashariki mwa Ufaransa na kuhusu kibao alichozabwa na mtu mmoja ambaye bado hajatambulishwa, Rais Emmanuel Macron amesema, mtu kueleza mitazamo yake ni jambo linalokubalika, lakini ujinga na ukatili havina nafasi katika utawala wa kidemokrasia.