-
Serikali yazidi kuwabana wapinzani nchini Uganda
Feb 15, 2016 11:56Huku siku chache tu zikiwa zimebakia hadi kufanyika uchaguzi mkuu wa Februari 18 nchini Uganda, polisi ya nchi hiyo leo imemtia mbaroni na baadaye kuwachia Daktari Kizza Besigye, kiongozi wa chama cha upinzani cha cha FDC. Besigye amekamatwa na polisi wakati alipokuwa anakwenda kwenye mkutano wa hadhara katika wilaya yenye shughuli nyingi, jijini Kampala.
-
Wabunge Lebanon washindwa tena kumchagua Rais
Feb 08, 2016 22:59Bunge la Lebanon lilikutana tena jana (Jumatatu) na kwa mara nyingine likashindwa kumchagua Rais kutokana na kutotimia idadi ya mahudhurio ya Wabunge kwa ajili ya zoezi hilo.