-
Waislamu Uganda watakiwa kutumia vyema nyakati za Ramadhani + Sauti
May 18, 2018 18:14Waislamu nchini Uganda na duniani kiujumla wamehimizwa kujiweka mbali na mambo yanayomkasirisha Mwenyezi Mungu na kutumia vizuri nyakati muhimu za mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametuandalia ripoti ifuatayo.
-
Kiongozi Muadhamu: Kukombolewa Palestina ni kanuni ya Allah ambayo Marekani haiwezi kukabiliana nayo
May 18, 2018 04:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, moja ya mahitaji muhimu na ya lazima ya umma wa Kiislamu hii leo, ni udharura wa kushikamana na Qur'an Tukufu na kuifanyia kazi.
-
Waislamu Zanzibar kuungana na Waislamu wengine kesho Alkhamisi katika saumu ya Ramadhani + Sauti
May 16, 2018 18:32Waislamu visiwani Zanzibar kesho Alkhamisi tarehe 17 Mei 2018 wataungana na Waislamu wengine duniani kuanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa mwaka huu wa 1439 Hijria. Harith Subeit ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo
-
Ramadhani, mwezi wa ibada na toba
May 30, 2017 08:51Bismillahir Rahmanir Rahim Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuhu na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu niliyokundalieni kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atutakabalie saumu na ibada zetu katika mwezi huu mtukufu.
-
Dua ya siku ya thelathini ya Ramadhani
Jun 18, 2016 12:19Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya thelathini ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Dua ya siku ya ishirini na tisa ya Ramadhani
Jun 18, 2016 12:17Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya ishirini na tisa ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya ishirini na nane ya Ramadhani
Jun 18, 2016 12:16Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya ishirini na nane ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya ishirini na saba ya Ramadhani
Jun 18, 2016 12:14Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya ishirini na saba ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya ishirini na sita ya Ramadhani
Jun 18, 2016 12:13Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya ishirini na sita ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya ishirini na tano ya Ramadhani
Jun 18, 2016 12:12Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya ishirini na tano ya mwezi mtukufu wa Ramadhani