Waislamu Uganda watakiwa kutumia vyema nyakati za Ramadhani + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i44670
Waislamu nchini Uganda na duniani kiujumla wamehimizwa kujiweka mbali na mambo yanayomkasirisha Mwenyezi Mungu na kutumia vizuri nyakati muhimu za mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametuandalia ripoti ifuatayo.
(last modified 2025-06-15T08:05:10+00:00 )
May 18, 2018 18:14 UTC