-
Baadhi ya Waislamu waswali Iddi leo, wengine kuadhimisha sikukuu hii kesho
Mar 30, 2025 06:12Baadhi ya Waislamu katika maeneo tofauti duniani wameswali Swala ya Iddul-Fitri leo Jumapili, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa siku 29; huku wengine wakitazamiwa kuadhimisha sherehe hizo kesho Jumatatu.
-
Mtaalamu: Badala ya kusimamia haki, ICC inatumikia madola yenye nguvu
Mar 30, 2025 02:37Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imepoteza uhalali wake kwa kutumikia maslahi ya kisiasa ya madola fulani. Hayo yameelezwa na Ali Hammoud, mtaalamu wa mahusiano ya kimataifa wa Kituo cha Mafunzo ya Kidiplomasia na Kimkakati (CEDS) chenye makao yake mjini Paris, Ufaransa.
-
Waislamu na Wakristo Burkina Faso wala futari pamoja kuimarisha umoja
Mar 16, 2025 11:32Mamia ya Waislamu na Wakristo huko Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso, wameshiriki pamoja dhifa ya futari katika medani ya Place De La Nation, kuadhimisha mwaka wa tatu wa utamaduni huo wa kuhamasisha mshikamano wa kijamii, wakati huu ambapo nchi hiyo inakabiliwa na ghasia za itikadi kali.
-
Pezeshkian: Ramadhani iwe chachu ya kuimarika umoja wa Waislamu
Mar 03, 2025 07:08Rais Masoud Pezeshkian wa Iran sambamba na kuwapongeza viongozi na mataifa ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani, ametoa mwito kwa nchi za Kiislamu kuutumia mwezi huu wa baraka kama chachu ya kuimarisha umoja, mshikamano na ushirikiano miongoni mwao.
-
Dua ya siku ya kumi na sita ya Ramadhani
Apr 06, 2023 19:30Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya kumi na sita ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya kumi na mbili ya Ramadhani
Apr 02, 2023 19:30Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya kumi na mbili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya tano ya Ramadhani
Mar 27, 2023 12:15Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya tano ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Rouhani: Iran inafanya juhudi za kuimarisha usalama wa Asia Magharibi
Jun 05, 2019 11:42Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inafanya juhudi za kuimarisha usalama katika eneo la Asia Magharibi na haina hamu wala nia yoyote ya kuingia vitani na nchi nyingine.
-
Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne kamwe hautofikia malengo yake
Jun 05, 2019 08:20Kiingozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu sambamba na kusisitiza kwamba mpango unaoitwa 'Muamala wa Karne' hautofikia malengo yake, amepongeza nchi za Kiarabu na kadhalika makundi ya Palestina yaliyopinga mpango huo.
-
Kiongozi Muadhamu: Nchi za Kiislamu zipambane na adui ghasibu anayetenda jinai Palestina
Jun 05, 2019 11:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, nchi za Kiislamu zina wajibu wa kukabiliana na adui ghasibu anayetenda jinai huko Palestina na sio kuzozana zenyewe kwa zenyewe.