-
Iran inatazamia kusherehekea siku kuu ya Idul Fitr Jumatano ya Juni 5
Jun 03, 2019 10:48Wananchi Waislamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanatazamiwa kusherehekea siku kuu ya Idul Fitr siku ya Jumatano, Juni 5.
-
Saudia kuwanyonga wanazuoni 3 mashuhuri baada ya Ramadhani
May 22, 2019 07:51Utawala wa Aal-Saud umepanga kuwanyonga wanazuoni watatu mashuhuri nchini Saudi Arabia baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, ikiwa ni katika muendelezo wa ukatili na ukandamizaji dhidi ya wasomi na wapinzani unaoongozwa na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa utawala huo, Mohammed bin Salman.
-
Umoja wa Mataifa watoa pongezi za Ramadhani
May 06, 2019 03:50Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mkono wa pongezi na fanaka kwa Waislamu wote duniani kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani
-
Rais Rouhani: Marekani haiwezi kukabiliana na taifa imara la Iran
May 21, 2018 08:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba kamwe Marekani haitoweza kulipigisha magoti taifa imara la Iran.
-
Misri yafungua kivuko cha Rafah kwa ajili ya Ramadhani
May 19, 2018 04:14Misri imefungua tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina karibu milioni mbili walio chini ya mzingiro huko Ukanda Gaza tangu mwaka 2007 na kusema kuwa eneo hilo la mpakani litasalia wazi katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Ukombozi usioepukika wa Palestina, kushindwa kusikokwepeka kwa Marekani + Picha
May 18, 2018 18:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Baytul Muqaddas ndio mji mkuu wa Palestina na kwa taufiki na uwezo wa Mwenyezi Mungu Palestina itakombolewa tu kutoka katika makucha ya maadui na kwamba Marekani na vitimbakwiri vyake hawawezi kufanya upuuzi wowote mbele ya uhakika na sunna hiyo ya Mwenyezi Mungu.
-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti
May 18, 2018 18:17Kama kamawaida, wiki hii pia iliyosadifiana na kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani imesheheni matukio ya kila namna ya Kiislamu duniani ukiwemo ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Harith Subeit na baadhi ya matukio hayo...
-
Waislamu Uganda watakiwa kutumia vyema nyakati za Ramadhani + Sauti
May 18, 2018 18:14Waislamu nchini Uganda na duniani kiujumla wamehimizwa kujiweka mbali na mambo yanayomkasirisha Mwenyezi Mungu na kutumia vizuri nyakati muhimu za mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametuandalia ripoti ifuatayo.
-
Kiongozi Muadhamu: Kukombolewa Palestina ni kanuni ya Allah ambayo Marekani haiwezi kukabiliana nayo
May 18, 2018 04:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, moja ya mahitaji muhimu na ya lazima ya umma wa Kiislamu hii leo, ni udharura wa kushikamana na Qur'an Tukufu na kuifanyia kazi.
-
Waislamu Zanzibar kuungana na Waislamu wengine kesho Alkhamisi katika saumu ya Ramadhani + Sauti
May 16, 2018 18:32Waislamu visiwani Zanzibar kesho Alkhamisi tarehe 17 Mei 2018 wataungana na Waislamu wengine duniani kuanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa mwaka huu wa 1439 Hijria. Harith Subeit ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo