-
Rouhani: Mazungumzo na kundi la 5+1 yanawezekana iwapo vikwazo vya kidhalimu dhidi ya Iran vitaondolewa
Dec 04, 2019 04:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na viongozi wa kundi la 5+1 iwapo Marekani italiondolea taifa hili vikwazo vyake vya kidhalimu.
-
Rouhani: Marekani ni nchi inayotenda jinai na ya kigaidi
Dec 03, 2019 08:52Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo vikali vya Marekani dhidi ya taifa la Iran na kueleza kuwa Marekani ni nchi inayotenda jinai na ya kigaidi.
-
Rouhani: Nchi za Asia Magharibi zinapasa kuwajibika ipasavyo katika kudhamini usalama wa eneo
Dec 03, 2019 08:34Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa nchi za eneo la Asia Magharibi zinapasa kushiriki katika kudhamini usalama wa eneo na kuwajibika ipasavyo katika uwanja huo. Amesema Iran imewasilisha Mpango wa Amani ya Hormoz kwa mtazamo huo.
-
Rais Rouhani: Vikwazo vya Marekani ni hatua iliyo dhidi ya maazimio ya kimataifa
Nov 19, 2019 09:55Rais Hassan Rouhani amesema, Marekani inapaswa ijijue kwamba si kiongozi wa dunia bali ni nchi kama zilivyo nchi zingine na akasisitiza kwamba, vikwazo vya Marekani ni kosa kubwa la kisiasa na kiuchumi na ni hatua iliyo dhidi ya kanuni na maazimio ya kimataifa.
-
Iran, muungaji mkono halisi wa Wapalestina katika kukabiliana na Israel
Nov 14, 2019 21:53Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko mstari wa mbele katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika kuwatetea watu wa Palestina.
-
Rais Rouhani: Palestina na Quds ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu
Nov 14, 2019 07:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa Palestina na Quds tukufu ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu na kuongeza kuwa: Ulimwengu wa Kiislamu hautawaruhusu maadui kuwafanya walimwengu wasahau kadhia ya Palestina na Quds tukufu.
-
Rais Rouhani awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume (saw)
Nov 14, 2019 11:18Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za baraka na fanaka viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia Maulidi na siku ya kuzaliwa Mtume wa rehma, amani na upendo, Muhammad (saw).
-
Rouhani: Taifa la Iran limevunja njama za Marekani kwa mapambano
Nov 13, 2019 08:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria njama za Marekani za kutoa pigo kwa taifa la Iran na kusema: "Mapambano (muqawama) ya wananchi wa Iran yamevunja njama za Marekani."
-
Rouhani: Iran ina uwezo wa kuunda vifaa vya vituo vya kuzalisha umeme
Nov 12, 2019 01:47Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mafanikio makubwa ya kisayansi nchini Iran na kusema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ina uwezo mkubwa katika kuunda vifaa na mashine zinazotumika katika vituo vya kuzalisha umeme."
-
Rais Rouhani: Uwezo wa kinyuklia wa Iran upo katika hali bora kabisa
Nov 11, 2019 09:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria ustawi na maendeleo ya taifa hili katika uga wa teknolojia ya nyukllia na kusema kuwa, hii leo Iran ipo katika hali na mazingira bora kabisa kuliko wakati wowote ule katika uga wa uwezo wa teknolojia ya nyuklia.