Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia: Hakuna haja ya kufanya makubaliano mapya na Iran

    Russia: Hakuna haja ya kufanya makubaliano mapya na Iran

    Jan 29, 2020 23:06

    Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Wakala wa Kimataifa wa Niashati ya Atomiki (IAEA) amesema kuwa Moscow inaamini kwamba hakuna haja ya kufanyika makubaliano mapya ya nyuklia na Iran, na badala yake mapatano ya JCPOA ni lazima yatekelezwe.

  • Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inalenga kupanua wigo wa makabiliano na Russia, China

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inalenga kupanua wigo wa makabiliano na Russia, China

    Jan 29, 2020 03:10

    Katika zama za utawala wa Rais Donlad Trump, Marekani imekithirisha makabiliano na Russia na China ambazo ni washindani wake wakuu katika uga wa kimataifa. Sera hiyo ya utawala wa Trump ilitiliwa mkazo katika Waraka wa Kistratijia wa Usalama wa Taifa la Marekani mwaka 2018.

  • Ukosoaji wa Umoja wa Mataifa kuhusu uwepo usio wa kijesheria wa majeshi ya kigeni nchini Syria

    Ukosoaji wa Umoja wa Mataifa kuhusu uwepo usio wa kijesheria wa majeshi ya kigeni nchini Syria

    Jan 27, 2020 00:51

    Marekani imekuwepo kijeshi na kinyume cha sheria nchini Syria tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh (ISIS), ambapo licha ya madai ya Rais Donand Trump ya kuwaondoa askari wa nchi yake kutoka taifa hilo la Kiarabu, lakini hadi leo askari hao wameendelea kuwepo sambamba na kupora mafuta ya Syria.

  • Russia yapinga vikali vitisho vya Marekani vya kumuua kigaidi Brig. Jen. Qaani

    Russia yapinga vikali vitisho vya Marekani vya kumuua kigaidi Brig. Jen. Qaani

    Jan 24, 2020 13:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amelaani vitisho vilivyotolewa na Marekani vya kumuua kigaidi kamanda mpya wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah).

  • Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Russia na Syria Baharini

    Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Russia na Syria Baharini

    Jan 21, 2020 21:33

    Majeshi ya Russia na Syria yamefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Bandari ya Tartus ya Syria katika pwani ya Bahari ya Mediterranea.

  • Waziri Mkuu mpya wa Russia aunga mkono mabadiliko ya kimfumo nchini humo

    Waziri Mkuu mpya wa Russia aunga mkono mabadiliko ya kimfumo nchini humo

    Jan 16, 2020 23:21

    Waziri Mkuu mpya wa Russia amesisitizia udharura wa kufanyika mabadiliko kwa ajili ya kuboresha hali ya mambo nchini humo.

  • Russia: Mauaji ya Jenerali Soleimani yanakiuka mipaka yote ya sheria na utu

    Russia: Mauaji ya Jenerali Soleimani yanakiuka mipaka yote ya sheria na utu

    Jan 14, 2020 23:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kitendo cha Marekani cha kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kinakiuka misingi na mipaka yote ya ubinadamu na sheria.

  • Russia: Hatua za Marekani zimesababisha maafa ya ndege ya Ukraine mjini Tehran

    Russia: Hatua za Marekani zimesababisha maafa ya ndege ya Ukraine mjini Tehran

    Jan 11, 2020 23:07

    Naibu Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Ulinzi ya Bunge la Russia (Duma) amesema kuwa, ni muhimu kutilia maanani uhakika kwamba, hatua za kichochezi za Marekani dhidi ya Iran ndiyo sababu ya tukio chungu la kuangushwa ndege ya Ukraine mjini Tehran.

  • Russia: Marekani inafifilisha makosa yake kwa kutumia sababu na matukio ya nje

    Russia: Marekani inafifilisha makosa yake kwa kutumia sababu na matukio ya nje

    Jan 08, 2020 21:46

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, viongozi wa Marekani wanatumia kisingizio cha sababu na matukio ya nje ili kufifilisha na kuficha makosa yao.

  • Putin atembelea Syria na kukutana Assad, atembelea mitaa ya Damascus

    Putin atembelea Syria na kukutana Assad, atembelea mitaa ya Damascus

    Jan 07, 2020 23:19

    Rais Vladimir Putin wa Russia jana aliwasili Damascus mji mkuu wa Syria na kukutana na Rais wa nchi hiyo, Bashar Assad.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS