-
Jitihada za Russia za kuwa na taathira katika matukio ya kaskazini mwa Syria
Oct 24, 2019 04:10Russia kama mmoja wa wahusika wakuu wa yale yanayojiri nchini Syria imetangaza msimamo wake kuhusu hujuma ya Uturuki huko kaskazini mwa Syria na imejitahidi kufikia mapatano na Uturuki ambayo yataweza kudhamini matakwa ya kiusalama ya Ankara na wakati huo huo kuandaa mazingira ya kuiwezesha serikali ya Syria kurejesha tena mamlaka yake katika eneo hilo.
-
Putin ataka kuongezeka maradufu mabadilishano ya kibiashara kati ya Russia na Afrika
Oct 23, 2019 23:18Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa mwito wa kuongezeka maradufu mabadilishano ya kibiashara kati ya nchi yake na nchi za bara Afrika.
-
Badala ya ubabe na unyonyaji wa Magharibi, Russia yataka kuamiliana na Afrika kwa msingi wa maslahi ya pande mbili
Oct 23, 2019 03:14Russia, ambayo ni moja ya madola makubwa duniani imeukosoa muelekeo na muamala wa Magharibi kwa bara la Afrika ambao siku zote huwa ni wa unyonyaji na utumiaji mabavu na badala yake inataka kustawisha uhusiano wake na nchi za bara hilo kwa msingi wa kuzingatia manufaa na maslahi ya pande zote mbili.
-
Russia yatupilia mbali tuhuma za Mark Zuckerberg wa Facebook dhidi ya nchi hiyo na Iran
Oct 22, 2019 23:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amezitaja tuhuma za hivi karibuni za mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook, Mark Zuckerberg dhidi ya Iran na Russia kuwa ni bandia na zisizo na msingi.
-
Russia kuchagua sarafu mpya zitakazochukua nafasi ya dola
Oct 21, 2019 23:47Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha wa Russia ametangaza kuwa nchi hiyo imeanisha Euro na Yuan kuwa sarafu za kigeni itakazotumia katika miamala yake ya kifedha.
-
Russia: Ulaya pia imechoshwa na siasa za ubeberu za Marekani
Oct 19, 2019 12:03Waziri Mkuu wa Russia, Dmitry Medvedev amesema kuwa, nchi za Ulaya pia zimechochwa na siasa za ubeberu za Marekani.
-
Bashar al Assad: Wanajeshi vamizi wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria
Oct 18, 2019 23:09Rais wa Syria amesema kuwa wanajeshi vamizi wa nchi za kigeni wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria na kusisitiza kuwa kuna ulazima wanajeshi hao kuondoka katika eneo hilo.
-
Russia yafanyia majaribio makombora ya kisasa ya nyuklia karibu na Marekani
Oct 18, 2019 04:10Rais Vladimir Putin wa Russia ameshuhudia majarbio ya makombora matano ya kisasa ya nyuklia katika eneo la Bahari ya Arctic nchini humo ambalo linapakana na Marekani.
-
Syria; ajenda kuu ya mazungumzo ya mjumbe wa Rais wa Russia mjini Tehran
Oct 17, 2019 06:55Mwakilishi maalumu wa Rais Vladimir Putin wa Russia amekuja hapa Tehran na kufanya mazungumzo na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran na Mjumbe Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu masuala ya Syria na wamejadiliana matukio ya hivi karibuni katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Sisitizo la Russia la kutatuliwa kisiasa hitilafu kati ya Uturuki na Syria
Oct 16, 2019 07:29Russia ikiwa moja ya nchi muhimu katika medani na matukio ya Syria imetangaza msimamo wake kuhusiana na mashambulio ya kijeshi ya Uturuki huko kaskazini mwa Syria.