Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Taasisi ya Russia yafichua maovu ya

    Taasisi ya Russia yafichua maovu ya "Kundi la Kofia Nyeupe nchini Syria"

    Sep 22, 2019 23:18

    Taasisi isiyo ya kiserikali ya Russia kwa jina la the Fund for Research of Problems of Democracy imefichua kuwa, lengo kuu la kundi la kigaidi la "Kofia Nyeupe" huko Syria ni kuchapisha taarifa na habari za uwongo na zisizo sahihi dhidi ya serikali ya nchi hiyo na kuhusu hali ya mambo nchini.

  • Russia: Marekani iache kuibua mizozo Asia Magharibi

    Russia: Marekani iache kuibua mizozo Asia Magharibi

    Sep 20, 2019 23:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, amekosoa hatua za Marekani za kuibua mizozo eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati.)

  • Russia yataka uchunguzi huru kuhusu shambulio la visima vya mafuta vya Saudia

    Russia yataka uchunguzi huru kuhusu shambulio la visima vya mafuta vya Saudia

    Sep 19, 2019 21:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru usiopendelea upande wowote kuhusu shambulizi dhidi ya taasisi za mafuta za ARAMCO za Saudi Arabia.

  • Sisitizo la Russia la kushirikiana na Iran kwa ajili ya kuanzisha mfumo mbadala wa SWIFT

    Sisitizo la Russia la kushirikiana na Iran kwa ajili ya kuanzisha mfumo mbadala wa SWIFT

    Sep 14, 2019 22:04

    Vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia na Iran vinavyotekelezwa kwa visingizio mbalimbali vimezifanya nchi mbili hizi zifanye mashauriano lengo likiwa ni kutafuta njia za kukabiliana navyo. Russia inaitazama Iran kama nchi mshirika wake yenye maslahi ya pamoja ya pande mbili na wakati huo huo inatilia maanani suala la kuimarisha msimamo wa Iran katika kukabiliana na Magharibi hususan Marekani.

  • Ukosoaji wa Russia kwa nafasi haribifu ya Magharibi katika Ghuba ya Uajemi

    Ukosoaji wa Russia kwa nafasi haribifu ya Magharibi katika Ghuba ya Uajemi

    Sep 10, 2019 22:01

    Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuiondoa nchi hiyo katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, alianza kutekeleza mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran.

  • Russia: Hatua ya Iran ya kupunguza uwajibikaji wake katika JCPOA si tishio

    Russia: Hatua ya Iran ya kupunguza uwajibikaji wake katika JCPOA si tishio

    Sep 10, 2019 03:30

    Russia imesema kuanza kutekelezwa na Iran hatua ya tatu ya kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA si tishio, na kitendo hicho kinafuata miongozo ya mapatano hayo ya kimataifa.

  • Mtazamo unaogongana wa Ulaya kuhusiana na JCPOA

    Mtazamo unaogongana wa Ulaya kuhusiana na JCPOA

    Sep 10, 2019 02:44

    Licha ya kuwa Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya ( Ujerumani, Ufaransa na Uingrereza) zikiwa wanachama wa kundi la 4+1 zimekuwa zikisisitiza mara kwa mara udharura wa kulindwa mapatano ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), lakini hazijaweza kuwasilisha rekodi nzuri ya utendaji wao katika uwanja huo.

  • Marekani yakosolewa kwa kukusudia kuangamiza mfumo wa usalama duniani

    Marekani yakosolewa kwa kukusudia kuangamiza mfumo wa usalama duniani

    Sep 03, 2019 02:26

    Rais Donald Trump wa Marekani amevuruga na kuhatarisha sana usalama wa kimataifa kwa kuendeleza sera zake zenye utata za kukiuka kanuni na mikataba ya kimatafa, hasa ya kujiondoa katika mikataba ya kudhibiti silaha hatari duniani.

  • Sisitizo la Rais Erdogan wa Uturuki la kununua ndege za kivita za Russia

    Sisitizo la Rais Erdogan wa Uturuki la kununua ndege za kivita za Russia

    Sep 01, 2019 23:35

    Kufuatia hatua ya Uturuki ya kununua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia, wakuu wa nchi hiyo sasa wameazimia kununa ndege za kisasa za kivita za Russia za Sukhoi-35 na Sukhoi-57.

  • Kukiri Rais wa Ufaransa juu ya kufikia tamati ubeberu wa Magharibi duniani

    Kukiri Rais wa Ufaransa juu ya kufikia tamati ubeberu wa Magharibi duniani

    Aug 29, 2019 00:21

    Kwa karne kadhaa Wamagharibi wametekeleza ubeberu katika uga wa kimataifa iwe ni katika kipindi cha ukoloni au katika zama za ubeberu; daima walifanya unyonyaji dhidi ya wananchi na mataifa mengine ya dunia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS