Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Sisitizo la Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia na Ujerumani juu ya kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Sisitizo la Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia na Ujerumani juu ya kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Aug 23, 2019 02:50

    Baada ya Marekani kujiondoa kinyamela katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) Mei mwaka jana, kinyume na matarajio ya Washington ambayo ilitaka nchi zingine wanachama wa kundi la 5+1 nazo zichukue uamuzi kama wake, mataifa hayo ikiwemo Russia na Ujerumani yalisisitiza juu ya kuendelea kubakishwa makubaliano hayo ya kimataifa yaliyokuwa yamepata baraka kamili za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Tishio jingine la Donald Trump la kuwahamishia magaidi wa Daesh katika nchi za Ulaya

    Tishio jingine la Donald Trump la kuwahamishia magaidi wa Daesh katika nchi za Ulaya

    Aug 22, 2019 21:55

    Nafasi ya Marekani na washirika wake wa Magharibi na wa Kiarabu katika kuanzisha na kueneza harakati za makundi ya kigaidi na kitakfiri likiwemo la Daesh si ya kukanushika hata kidogo.

  • Russia na China zaitisha kikao cha Baraza la Usalama la UN dhidi ya Marekani

    Russia na China zaitisha kikao cha Baraza la Usalama la UN dhidi ya Marekani

    Aug 22, 2019 01:05

    Maafisa wa Russia na China wametoa wito wa kufanyika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili mipango ya Marekani ya kustawisha makombora ya masafa ya kati ya kuyapeleka katika baadhi ya maeno ya dunia hususan Asia na Ulaya.

  • Ukosoaji mkali wa Russia na China dhidi ya majaribio ya kombora la Cruise la Marekani

    Ukosoaji mkali wa Russia na China dhidi ya majaribio ya kombora la Cruise la Marekani

    Aug 21, 2019 03:11

    Mwezi uliopita Rais Trump wa Marekani aliendeleza sera yake ya kujiondoa katika makubaliano na mikataba ya kimataifa kwa kuiondoa nchi hiyo katika mkataba wa Slaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF). Hatua hiyo imetajwa na wachambuzi wa mambo kuwa ni utangulizi wa ajenda kubwa zaidi ya serikali ya Washington ya kustawisha na kuzalisha silaha mpya.

  • Russia yasema itajibu mapigo kwa hatua yoyote ya Marekani ya kuweka makombora Asia na Ulaya

    Russia yasema itajibu mapigo kwa hatua yoyote ya Marekani ya kuweka makombora Asia na Ulaya

    Aug 18, 2019 08:47

    Waziri wa Ulinzi wa Russiia ametahadharisha kwamba, Moscow itajibu hatua yoyote ya Marekani ya kuweka makombora katika nchi za Asia na Ulaya.

  • Uchochezi wa mitandao ya kijamii katika nchi zinazopinga sera za Marekani

    Uchochezi wa mitandao ya kijamii katika nchi zinazopinga sera za Marekani

    Aug 13, 2019 03:42

    Katika kipindi chote cha utawala wa Rais Vladmir Putin nchini Russia Wamagharibi wamekuwa wakifanya kila wawezalo kuzusha ghasia na kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo. Nchi za Magharibi hususan Marekani, zimekuwa zikitumia zaidi propaganda chafu na vita vya kinafsi dhidi ya Russia na nchi nyingine zisizokubaliana na sera zao za kibeberu.

  • Jahangiri: Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Jahangiri: Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Aug 13, 2019 02:43

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Eshaq Jahangiri amesema Marekani inalenga kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi na Lango Bahari la kistratijia la Hormuz na kutumia ukosefu wa usalama kama kisingizo cha kujiimarisha kijeshi katika eneo.

  • Jumatano 07 Agosti, 2019

    Jumatano 07 Agosti, 2019

    Aug 06, 2019 20:46

    Leo ni Jumatano tarehe 5 Mfunguo Tatu, Dhulhija 1440 Hijria sawa na tarehe 7 Agosti mwaka 2019.

  • Russia yaituhumu Marekani na nchi za Ulaya kuwa zimechochea machafuko Moscow

    Russia yaituhumu Marekani na nchi za Ulaya kuwa zimechochea machafuko Moscow

    Aug 05, 2019 07:01

    Msemaji wa Wizara ya Mambo y Nje ya Russia amesema kuwa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya zimehusika katika machafuko yaliyotokea hivi karibuni mjini Moscow.

  • Gorbachev: Kujitoa Marekani katika mkataba wa INF kutasababisha hali ya mchafukoge duniani

    Gorbachev: Kujitoa Marekani katika mkataba wa INF kutasababisha hali ya mchafukoge duniani

    Aug 04, 2019 09:11

    Kiongozi wa mwisho wa lililokuwa Shirikisho la Kisovieti la Urusi, Mikhail Gorbachev ameikosoa Marekani kwa kujitoa katika mkataba unaopiga marufuku silaha za nyuklia za masafa ya kati (INF) na kueleza kwamba: Hatua hiyo ya Washington ni mwanzo wa mashindano mapya ya uundaji silaha na kuanza hali ya mchafukoge duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS