-
Zarif amwambia Pompeo: Kipindi cha "madola makubwa" kimepita
Aug 03, 2019 02:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwambia wenzake wa Marekani kwamba kipindi cha madola makubwa kimepita muda mrefu huko nyuma.
-
Marekani yatangaza rasmi kujitoa kwenye mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF)
Aug 02, 2019 08:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ametangaza rasmi kujitoa nchi yake katika mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF).
-
Ukosoaji wa Russia kwa utendaji wa Umoja wa Mataifa mkabala na jinai za magaidi nchini Syria
Aug 01, 2019 20:46Syria imekuwa ikikabiliwa na hali ya mchafukoge tangu mwakak 2011 na kisha ikatumbukia katika vita vya ndani baina ya serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo na waungaji mkono wake kwa upande mmoja na makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na madola ya Magharibi na washirika wao wa Kiarabu kwa upande wa pili.
-
Russia yawasilisha mpango wa usalama wa Ghuba ya Uajemi kwa Umoja wa Mataifa
Jul 30, 2019 06:24Uwepo wa kijeshi wa nchi za kigeni katika eneo la Ghuba ya Uajemi na taathira zake mbaya ambazo zimepelekea kuongezeka mivutano ya kisiasa na kijeshi katika eneo, umeipelekea Russia kuwasilisha mpango wa usalama wa eneo hili la kistratijia kwa Umoja wa Mataifa.
-
Wasiwasi wa Russia wa kuwekwa silaha za Marekani katika anga za mbali
Jul 28, 2019 06:35Serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ambaye siku zote amekuwa akisisitiza udharura wa kuimarishwa nguvu ya jeshi la nchi hiyo, sasa inafuatilia mipango ya kuweka silaha zake tofauti katika anga za mbali, ikiwemo mifumo ya kukabiliana na makombora.
-
Uungaji mkono wa Lavrov kwa nafasi kuu ya Iran katika kutatua migogoro ya kieneo
Jul 26, 2019 02:57Russia imeonyesha msimamo wa kuiunga mkono Iran mkabala na tuhuma za Marekani dhidi ya Iran ambazo ni chanzo cha ukosefu wa amani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Russia yapinga kuwepo majeshi ya nchi za kigeni Ghuba ya Uajemi
Jul 24, 2019 03:45Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa kuwepo majeshi ya kigeni katika eneo la Ghuba ya Uajemi kunasababisha hatari ya kutokea vita.
-
Tuhuma za Marekani dhidi ya Russia kwa kuisaidia Venezuela
Jul 23, 2019 03:03Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani, siasa za upande mmoja za Washington dhidi ya nchi tofauti zinazopinga ubeberu na kupenda makubwa kwa Marekani, ikiwemo Venezuela , zimebadilika kuwa moja ya tofauti za msingi kati ya serikali ya Moscow na Washington.
-
Sisitizo la Russia la haki ya kurutubisha urani ziliyonayo nchi zote zilizosaini mkataba wa NPT
Jul 22, 2019 07:38Viongozi wa serikali ya Marekani wanapiga upatu wa kutaka Iran izuiwe kunufaika na haki yake ya kurutubisha urani sambamba na kushadidisha mbinyo na mashinikizo dhidi ya Tehran ili isimamishe shughuli zake za nyuklia, ilhali mkataba wa Kuzuia Uundaji na Uenezaji Silaha za Nyuklia (NPT), unazidhaminia nchi zote zilizosaini mkataba huo haki ya kurutubisha madini hayo.
-
Ujumbe wa Putin kwa Bashar al Assad: Russia itaendelea kuiunga mkono Syria
Jul 21, 2019 22:01Rais wa Russia amesisitiza katika ujumbe aliomtumia Rais mwenzake wa Syria kwamba Moscow itaendelea kuunga mkono umoja wa ardhi yote ya Syria.