-
Jumatatu tarehe 22 Julai 2019
Jul 21, 2019 21:56Leo ni Jumatatu tarehe 19 Dhulqaada 1440 Hijria sawa na tarehe 22 Julai 2019.
-
Hatua ya Marekani ya kuvunja rasmi mkataba wake na Uturuki
Jul 19, 2019 01:50Hatua ya Uturuki ya kununua mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka kwa Russia imezusha mgogoro mkubwa katika uhusiano wake na Marekani hasa kwa kuzingatia kuwa kabla ya hapo pia Ankara na Washington zilikuwa tayari zina mzozo baina yao.
-
Russia na Hamas zafanya mazungumzo mjini Moscow
Jul 17, 2019 03:13Ujumbe wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS umekutana mjini Moscow na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Mikhail Bogdanov ambapo pande mbili zimesisitizia umuhimu wa umoja wa Wapalestina kwa shabaha ya kuzima njama ya Marekani iliyopewa jina la Muamala wa Karne.
-
Iran: Hakuna mazungumzo yoyote baina yetu na Marekani
Jul 14, 2019 06:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haifanyi mazungumzo ya kiwango chochote kile na viongozi wa Marekani.
-
Uturuki yaanza kupokea mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia
Jul 12, 2019 20:38Uturuki imepokea shehena ya kwanza ya mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia licha ya makelele na vitisho vya Marekani.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya Astana kuhusu Syria kuanza tena
Jul 11, 2019 21:55Duru mpya ya mazungumzo ya Astana kuhusu mgogoro wa Syria inatazamiwa kuanza mapema mwezi ujao wa Agosti huko Nur-Sultan mji mkuu wa Kazakhstan.
-
Russia: Marekani haina haki ya kuikosoa Iran kuhusiana na JCPOA
Jul 11, 2019 03:48Mwakilishi wa Russia katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia IAEA amesema kuwa Marekani haina haki yoyote ya kisheria ya kuikosoa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na hatua yake ya kupunguza ahadi zake kuhusiana na mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA.
-
Russia yaunga mkono njia ya kuutatua kisiasa mgogoro wa Syria
Jul 05, 2019 23:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amehimiza kufanyika juhudi zaidi za kuutatua kisiasa mgogoro wa Syria na kujiepusha na kutumia mabavu.
-
Putin: Magaidi wanatorokea Libya, wakitokea Syria
Jul 05, 2019 02:48Rais Vladimir Putin wa Russia ameonya kuwa, mgogoro wa kiusalama Libya huenda ukapanuka zaidi kutokana na wimbi la wananchama wa magenge ya kigaidi ambao wanatorokea nchi hiyo, wakitokea katika mkoa wa Idlib uliko kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Russia yaunga mkono mazungumzo baina ya Iran na nchi za Kiarabu
Jul 04, 2019 02:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, anaunga mkono na kushajiisha mazungumzo baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi za Kiarabu.