Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Moscow yatahadharisha kuhusu tuhuma za kuingilia uchaguzi wa Marekani mwaka 2020

    Moscow yatahadharisha kuhusu tuhuma za kuingilia uchaguzi wa Marekani mwaka 2020

    Jul 03, 2019 22:11

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amewaambia wabunge wa Marekani kwamba Moscow inapinga uingiliaji kati wowote katika uchaguzi ujao wa Rais wa Marekani.

  • Lavrov na afisa wa UN wasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mzozo wa Yemen

    Lavrov na afisa wa UN wasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mzozo wa Yemen

    Jul 02, 2019 07:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen wamesisitiza ulazima wa kufanyika juhudi ili kuhitimisha hali ya mgogoro huko Yemen..

  • Russia yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Russia yalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Jun 22, 2019 08:16

    Vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran ni vikwazo vilivyo kinyume cha sheria na vinavyokinzana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA. Nchi za kundi la 4+1 limelaani vikwazo hivyo dhidi ya Iran.

  • Russia: Iran inapambana vilivyo na vitendo vya kigaidi

    Russia: Iran inapambana vilivyo na vitendo vya kigaidi

    Jun 21, 2019 05:20

    Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ameunga mkono kuweko washauri wa kijeshi wa Iran nchini Syria na kusisitiza kuwa, washauri hao wa kijeshi wako nchini humo kwa mwaliko rasmi wa serikali ya Damascus.

  • Russia yakosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya Iran

    Russia yakosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya Iran

    Jun 21, 2019 04:48

    Baada ya kujitoa kinyume cha sheria katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani imekuwa ikitekeleza siasa za 'mashinikizo ya juu zaidi' dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Russia: Marekani inapaswa kurejea haraka kwenye JCPOA

    Russia: Marekani inapaswa kurejea haraka kwenye JCPOA

    Jun 19, 2019 03:18

    Russia imesema Marekani inapaswa kurejea mara moja kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Njia za utatuzi za Rais Vladmir Putin kwa ajili ya mapatano ya JCPOA

    Njia za utatuzi za Rais Vladmir Putin kwa ajili ya mapatano ya JCPOA

    Jun 17, 2019 00:04

    Hatua ya Marekani ya kujiondoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka jana na pia ukiukaji wa ahadi wa mara kwa mara wa Umoja wa Ulaya ambao umeshindwa kulinda mapatano hayo kupitia kuanzisha mfumo utakaosaidia kupunguza athari hasi za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, ni mambo yaliyoyaweka katika hali mbaya mapatano hayo.

  • Moscow yailaumu Marekani kwa kuibua mivutano Asia magharibi

    Moscow yailaumu Marekani kwa kuibua mivutano Asia magharibi

    Jun 15, 2019 21:46

    Marekani katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Donald Trump imeanzisha jitihada za kuasisi muungano na kuimarisha uwepo wake katika eneo la Asia magharibi hususan katika Ghuba ya Uajemi kwa kisingizio cha eti kuwepo vitisho kutoka kwa Iran.

  • Russia yaishukuru Iran kwa juhudi zake za kuwaokoa mabaharia wa meli zilizoshambuliwa

    Russia yaishukuru Iran kwa juhudi zake za kuwaokoa mabaharia wa meli zilizoshambuliwa

    Jun 15, 2019 00:20

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa shukurani zake za dhati kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na juhudi zake za kuwaokoa mabaharia wa Kirusi waliokuwa kwenye meli mbili za mafuta zilizoshambuliwa siku ya Alkhamisi katika maji ya Bahari ya Oman.

  • Marekani yakiri kutumia Intaneti kushambulia nchi nyingine

    Marekani yakiri kutumia Intaneti kushambulia nchi nyingine

    Jun 11, 2019 22:35

    Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani ametangaza waziwazi kuwa Washington inatumia mawasiliano ya kumpyuta kushambulia baadhi ya nchi duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS