Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia: Hatua haribifu za nchi za Magharibi nchini Syria hazina natija

    Russia: Hatua haribifu za nchi za Magharibi nchini Syria hazina natija

    Jun 08, 2019 22:35

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, hatua haribifu za nchi za Magharibi nchini Syria hazina natija yoyote.

  • Russia: Madai kuwa Iran ilituomba tuiuzie ngao ya S-400 ni uvumi mtupu

    Russia: Madai kuwa Iran ilituomba tuiuzie ngao ya S-400 ni uvumi mtupu

    Jun 07, 2019 21:47

    Naibu Waziri Mkuu wa Russia katika Masuala ya Ulinzi amesema kwamba, Moscow haijapata ombi kutoka Iran la kuiuzia ngao ya makombora ya S-400.

  • Viongozi wa Russia na China wasisitiza kuendelea kuheshimiwa mapatano ya JCPOA, walaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Viongozi wa Russia na China wasisitiza kuendelea kuheshimiwa mapatano ya JCPOA, walaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Jun 06, 2019 22:39

    Russia na China zikiwa nchi mbili muhimu wanachama wa kundi la 4+1 daima zimekuwa zikisisitiza udharura wa kulindwa mapatano ya kimataifa ya JCPOA na wakati huohuo kupinga vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran.

  • Russia na China zalaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran

    Russia na China zalaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran

    Jun 06, 2019 03:19

    Marais wa Russia na China sanjari na kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran, lakini pia wamezitaka pande husika kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya Vienna yanayojulikana kama JCPOA.

  • Takwa la Moscow na Damascus la kuondoka askari wa Marekani nchini Syria

    Takwa la Moscow na Damascus la kuondoka askari wa Marekani nchini Syria

    May 30, 2019 03:22

    Licha ya kutangazwa kwa mara ya kwanza na Rais Donald Trump wa Marekani habari ya kuondoka askari wa nchi yake kutoka Syria, hapo tarehe 19 Disemba mwaka jana, lakini hadi sasa Washington imeendelea kusisitizia kubakisha askari wake nchini humo.

  • China na Russia kususia mkutano wa Marekani dhidi ya Palestina, Bahrain

    China na Russia kususia mkutano wa Marekani dhidi ya Palestina, Bahrain

    May 29, 2019 03:30

    Serikali za China na Russia zimetangaza kuwa hazitashiriki mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain.

  • Russia kutuma wataalamu wa kijeshi nchini Kongo DR

    Russia kutuma wataalamu wa kijeshi nchini Kongo DR

    May 28, 2019 22:01

    Serikali ya Russia imetangaza kuwa imeazimia kutuma wataalamu wake wa kijeshi huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya kuimarisha uwepo wake wa kijeshi barani Afrika.

  • Kuunga mkono Russia ubunifu wa Iran wa kupunguza hali ya taharuki Ghuba ya Uajemi

    Kuunga mkono Russia ubunifu wa Iran wa kupunguza hali ya taharuki Ghuba ya Uajemi

    May 28, 2019 07:00

    Ili kufikia malengo yake haramu katika eneo la Asia Magharibi na Ghuba ya Uajemi, Marekani daima imekuwa ikieneza chuki dhidi ya Iran yaani Iranophobia, na kwa njia hiyo imeibua hitilafu na mgogoro katika uhusiano wa Iran na majirani zake katika Ghuba ya Uajemi. Pamoja na hayo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikisisitiza kuhusu ulazima wa kuwepo uthabiti katika Ghuba ya Uajemi na hata imewasilisha mpango mpya kuhusiana na hilo.

  • Mamufti Russia wawataka Waislamu duniani kuzuia mpango wa Marekani na Israel wa 'Muamala wa Karne'

    Mamufti Russia wawataka Waislamu duniani kuzuia mpango wa Marekani na Israel wa 'Muamala wa Karne'

    May 25, 2019 21:56

    Mkuu wa Baraza la Mamufti nchini Russia amewataka Waislamu duniani kuzuia utekelezwaji wa mpango wa Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unaoitwa 'Muamala wa Karne' ambao kimsingi ni kulifanyia khiyana ya wazi taifa la Palestina.

  • Russia: Misimamo ya Moscow mkabala na Tehran haijabadilika

    Russia: Misimamo ya Moscow mkabala na Tehran haijabadilika

    May 24, 2019 23:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kuwa misimamo ya nchi hiyo mkabala na Iran haijabadilika baada ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kufanya ziara mjini Moscow.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS