Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Putin aamuru kusimamishwa kwa muda utekelezaji wa mkataba wa silaha za nyuklia wa INF

    Putin aamuru kusimamishwa kwa muda utekelezaji wa mkataba wa silaha za nyuklia wa INF

    Mar 05, 2019 03:33

    Rais Vladimir Putin wa Russia ametangaza kuwa, Moscow itasimamisha utekelezaji wa Mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati maarufu kwa kifupi kama INF.

  • Syria: Marekani na Uturuki zinajua mahali alipo kiongozi wa DAESH (ISIS), Abu Bakr al-Baghdadi

    Syria: Marekani na Uturuki zinajua mahali alipo kiongozi wa DAESH (ISIS), Abu Bakr al-Baghdadi

    Mar 02, 2019 22:56

    Syria imesema, Marekani na Uturuki zina taarifa za mahali alipo kiongozi wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) Ibrahim al-Samarrai, anayejulikana pia kama Abdu Bakr al-Baghdadi.

  • Russia na China zamuunga mkono Rais Maduro dhidi ya njama za Marekani

    Russia na China zamuunga mkono Rais Maduro dhidi ya njama za Marekani

    Feb 23, 2019 00:15

    China na Russia zimetangaza uungaji mkono wao kwa Venezuela na kuonya kuhusu hatua yoyote ya kuishambulia nchi hiyo ya Amerika ya Latini ambako wapinzani wanamejiandaa kupokea vifurushi vya misaada kutoka Marekani.

  •  Russia yasisitiza kushirikiana na Iran katika sekta ya nishati ya nyuklia

    Russia yasisitiza kushirikiana na Iran katika sekta ya nishati ya nyuklia

    Feb 23, 2019 00:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametangaza kuwa, Moscow itaendelea kushirikiana kwa pande zote na Iran ikiwa ni pamoja na katika sekta ya nishati ya nyuklia.

  • Onyo kali na lisilo la kawaida la Rais wa Russia kwa Marekani

    Onyo kali na lisilo la kawaida la Rais wa Russia kwa Marekani

    Feb 21, 2019 07:46

    Uhusiano wa Russa na Marekani umekuwa ukizorota kila siku tokea alipoingia madarakani Rais Donald Trump mnamo Januari 2017.

  • Russia yamuonya, mpinzani wa Venezuela aliyejitangaza kuwa rais

    Russia yamuonya, mpinzani wa Venezuela aliyejitangaza kuwa rais

    Feb 21, 2019 04:23

    Serikali ya Russia kupitia Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Sargey Lavrov imemuonya Juan Guaidó, mpinzani wa serikali ya Venezuela aliyejitangaza kuwa rais wa nchi hiyo kwa hatua yake ya kuruhusu uingiliaji wa kigeni ndani ya taifa hilo.

  • Putin atahadharisha kuhusu uwezekano wa kuwekwa barani Ulaya makombora ya nyuklia ya Marekani

    Putin atahadharisha kuhusu uwezekano wa kuwekwa barani Ulaya makombora ya nyuklia ya Marekani

    Feb 20, 2019 10:54

    Rais wa Russia amesema kuwa Moscow ipo tayari kutoa jibu kwa hatua yoyote itakayochukuliwa ya kuwekwa makombora ya nyuklia ya Marekani barani Ulaya.

  • Marekani yapinga kushirikishwa Russia katika utatuzi wa masuala mbalimbali ya kimataifa

    Marekani yapinga kushirikishwa Russia katika utatuzi wa masuala mbalimbali ya kimataifa

    Feb 18, 2019 03:00

    Katika fremu ya nara yake ya "Marekani Kwanza" inayotoa kipaumbele kwa maslahi ya Marekani na kupuuza maslahi ya nchi nyingine duniani, Rais Donald Trump wa Marekani anaamini kuwa siasa za kuchukua maamuzi za upande mmoja na za kibinafsi za Washington zitazidisha nguvu za nchi hiyo dhidi ya wapinzani wake.

  • Viongozi wa Russia, Iran na Uturuki watoa taarifa mwishoni mwa kikao chao cha mjini Sochi

    Viongozi wa Russia, Iran na Uturuki watoa taarifa mwishoni mwa kikao chao cha mjini Sochi

    Feb 14, 2019 23:22

    Viongozi wa nchi tatu za Iran, Russia na Uturuki wamesisitiza kuhusu azma yao ya kuimarisha ushirikiano kwa ajili ya kupeleka mbele gurudumu la mchakato wa kisiasa nchini Syria, kurejeshwa makwao wakimbizi na kuijenga upya nchi hiyo.

  • Russia: Iran ina haki ya kuimarisha teknolojia yake ya makombora

    Russia: Iran ina haki ya kuimarisha teknolojia yake ya makombora

    Feb 12, 2019 23:38

    Serikali ya Russia imesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran in haki ya kuimarisha teknolojia yake ya makombora.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS