-
Russia yakamata magaidi wa ISIS, yazuia hujuma za kigaidi
Feb 08, 2016 23:00Vikosi vya usalama Russia vimewakamata magaidi saba wa kundi la ISIS (Daesh) ambao walikuwa wanapanga kufanya mashambulizi ya kigaidi katika miji kadhaa kote Russia.
-
Rusia: Nato inachochea machafuko Mashariki ya Kati
Feb 08, 2016 03:44Wizara ya Ulinzi ya Russia imejibu tuhuma za shika la kijeshi la nchi za Magharibi (NATO) ikisema muungano huo wa kijeshi imeitumbukiza Syria katika matatizo makubwa na kusababisha machafuko katika eneo lote la Mashariki ya Kati.