-
Putin: Ushirikiano wetu na Pakistan utaimarisha usalama wa kikanda
Aug 14, 2022 06:54Rais Vladimir Putin wa Russia amewatumia ujumbe viongozi wa Pakistan na kuwahakikishia kuwa ushirikiano baina ya nchi zao utaimarisha usalama katika ukanda huu mzima.
-
Onyo la Russia kuhusu uwezekano wa kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Marekani
Aug 14, 2022 04:14Kutokana na Marekani kuendeleza sera za uhasama dhidi ya Russia na vitisho ilivyotoa vya kuitangaza Russia nchi inayofadhili na kuunga mkono ugaidi, Moscow imeonya kuwa, kuchukuliwa uamuzi huo kutaufikisha uhusiano wa pande mbili kwenye nukta isiyorudishika nyuma na kuna uwezekano hata wa kuvunjika uhusiano wa kidiplomasia baina ya Russia na Marekani.
-
Kissinger: US ipo katika ncha ya kuingia vitani na Russia, China
Aug 14, 2022 02:48Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema Washington imepuuza diplomasia, na kutukuwepo kiongozi thabiti, dunia inajongelewa na vita kutokana na mizozo ya Ukraine na Taiwan.
-
Russia yaonya juu ya uwezekano wa kuvunja uhusiano na Marekani
Aug 13, 2022 03:43Afisa mmoja katika wizara ya mambo ya nje ya Russia ameonya kuwa uhusiano wa nchi hiyo na Marekani unaweza ukafika kwenye "nukta isiyoweza kurudishika nyuma" na mbaya zaidi kuliko ya hivi sasa.
-
China: Marekani inataka vita vya Ukraine vichukue muda mrefu bila ya kumalizika
Aug 11, 2022 21:57Balozi wa China nchini Russia amesema kuwa, hatua ya Marekani ya kuendelea kumimina silaha huko Ukraine ni ushahidi tosha unaothibitisha kuwa hamu ya Washington ni kuona vita vya Ukraine vinachukua muda mrefu bila ya kumalizika.
-
Ombi la rais wa Ukraine la kuadhibiwa kwa umati wananchi wa Russia; muendelezo wa siasa za Kizayuni
Aug 10, 2022 21:55Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine ambaye hadi hivi karibuni alikuwa anadai kuwa Rais Vladimir Putin wa Russia ndiye aliyesababisha vita vya Ukraine, hivi sasa ameelekeza mashambulizi yake kwa wananchi wote wa Russia na ametaka adhabu ya umati itolewe dhidi yao.
-
Russia: Kuondoka majeshi ya Marekani Syria kutarahisisha na kuharakisha kuangamizwa magaidi
Aug 10, 2022 03:14Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema, kuondoka majeshi ya Marekani Syria kutarahisisha na kusahilisha kwa haraka zaidi kuangamizwa magaidi katika nchi hiyo.
-
Satalaiti ya Khayyam; hatua muhimu katika harakati ya Iran ya kuzitumia anga za mbali
Aug 09, 2022 21:00Waziri wa Habari na Mawasiliano na Teknolojia wa Iran Issa Zarepour ametangaza kuwa satalaiti ya Kiirani ya Khayyam jana Jumanne ilipaa kuelekea anga za mbali umbali wa kilomita 500 kutoka ardhini.
-
Medvedev: Rais wa Ukraine anafuata fikra za Adolf Hitler
Aug 09, 2022 20:51Rais wa zamani wa Russia amesema fikra, mienendo na misimamo ya Rais wa Ukraine inafanana na ya mtawala wa zamani wa Ujerumani ya Manazi, Adolf Hitler.
-
Ripoti ya Amnesty International kuhusu jinai za kivita za serikali ya Ukraine
Aug 08, 2022 01:12Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Amnesty International limetoa ripoti mpya na kuilaumu serikali ya Ukraine kwa jinai za kivita ilizofanya dhidi ya raia na watu wasio na hatia wa nchi hiyo.