-
Putin: Vikwazo vya Magharibi dhidi ya Russia vinaziathiri nchi zenyewe za Magharibi
May 27, 2022 02:28Rais Vladimir Vladimirovich Putin wa Russia kwa mara nyingine tena amezilaumu nchi za Magharibi kwa kuiwekea nchi yake vikwazo kwa kisingizio cha vita vya Ukraine na kusema kuwa, vikwazo hivyo vinaziathiri nchi zenyewe za Magharibi.
-
Russia yawawekea vikwazo zaidi ya wabunge 150 wa Uingereza
May 25, 2022 02:53Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imelipiza kisasi cha hatua za kiuadui zilizochukuliwa na Uingereza dhidi yake, kwa kutangaza kuwawekea vikwazo zaidi ya wabunge 150 wa Uingereza.
-
Nchi nne wanachama wa EU zataka fedha za Russia zilizozuiliwa zitumike kuijenga upya Ukraine
May 24, 2022 03:18Nchi nne wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zinatazamiwa kuwasilisha rasmi katika umoja huo barua ya kutaka mali na fedha za Russia zilizozuiliwa na EU zitumiwe kuijenga upya Ukraine baada ya kumalizika vita.
-
Uungaji mkono wa Iran kwa hatua za Umoja wa Mataifa katika kukabiliana na mgogoro wa chakula duniani
May 20, 2022 22:44"Dunia nzima imeathirika na uhaba wa chakula." Hayo yalisemwa siku ya Alhamisi na Majid Takht-e Ravanchi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa.
-
Russia: Shirika "lililokufa ubongo" linahitaji kupatiwa viungo vipya
May 20, 2022 03:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia Maria Zakharova amegusia hatua ya shirika la kijeshi la NATO ya kutaka kuzipatia Finland na Sweden uanachama wa shirika hilo na akasema, shirika ambalo limekumbwa na "kifo cha ubongo" linahitaji kupatiwa viungo vipya.
-
Kushindwa Umoja wa Ulaya kuiwekea vikwazo vya mafuta Russia
May 17, 2022 22:34Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema katika mkutano wake na waandishi wa habari baada ya kikao cha mawaziri wa umoja huo mjini Brussels Ubelgiji kwamba, hakuna uwezekano wa kufikiwa makubaliano kuhusiana na kifurushi cha sita cha vikwazo dhidi ya Russia.
-
Marekani na NATO zafanya mazoezi ya kijeshi karibu na mipaka ya Russia
May 16, 2022 22:34Mazoezi ya kijeshi ya pamoja baina ya Marekani na Jeshi la Nchi za Magharibi NATO yanaendelea hivi sasa katika ardhi ya Estonia, karibu na kambi za kijeshi za Russia.
-
Russia: Tumeteketeza vituo 104 vya kiijeshi vya Ukraine hadi hivi sasa
May 16, 2022 06:16Wizara ya Ulinzi wa Russia imetangaza kuwa, hadi hivi sasa operesheni maalumu ya kijeshi ya nchi hiyo huko Ukraine iimeshateketeza vituo 104 vya kijeshi vya Ukraine.
-
Iran na Russia zaanzisha kituo cha pamoja cha teknolojia
May 14, 2022 06:42Jamhuri ya Kiislamu ya Ira na Russia zimeanzisha kituo cha pamoja cha teknolojia kwa ajili ya kuendesha miraji ya pamoja ya ustawi na maendeleo katika uga huo.
-
Jamhuri ya Czech yachukua nafasi ya Russia katika Baraza la Haki za Binadamu la UN
May 11, 2022 03:14Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limeipa Jamhuri ya Czech nafasi ya Russia baada ya kufuta uanachama wa Moscow kwenye baraza hilo.