-
Moscow yasisitiza: Marekani inashiriki moja kwa moja katika vita vya Ukraine
May 08, 2022 21:57Vyacheslav Volodin, mkuu wa Duma ya Russia, ameandika kwenye mtandao wa Telegram kwamba Merekani inashiriki moja kwa moja katika operesheni za kijeshi za Ukraine.
-
Kuongezeka upinzani barani Ulaya dhidi ya kuwekewa vikwazo vya mafuta Russia
May 05, 2022 22:07Licha ya vitisho vya Umoja wa Ulaya kuhusiana na kuiwekea vikwazo vya mafuta Russia katika fremu ya kifurushi cha sita cha vikwazo dhidi ya nchi hiyo, lakini jambo hilo linaonekana kukabiliwa na upinzani mkali barani humo na hata baadhi ya viongozi wa Marekani kutoa onyo dhidi ya hatua hiyo.
-
Russia yawafukuza wanadiplomasia 7 wa Denmark kulipiza kisasi
May 05, 2022 22:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa taarifa na kutangaza kuwa, nchi hiyo inawatambua wanadiplomasia saba wa ubalozi wa Denmark huko Moscow kuwa watu wasiofaa na imechukua uamuzi wa kuwafukuza nchini humo.
-
Russia: Mamluki wa Kizayuni wanapigana bega kwa bega na Waukraine
May 04, 2022 21:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, mamluki wa Israel wanapigana bega kwa bega na vikosi vya jeshi la Ukraine
-
Putin atia saini amri ya kuiwekea vikwazo vya ulipizaji kisasi kambi ya Magharibi
May 04, 2022 21:45Ikulu ya Kremlin imetangaza Jumanne kuwa, Rais Vladimir Putin wa Russia ametia saini amri ya kukabiliana na 'hatua zisizo za kirafiki za baadhi ya nchi za kigeni na mashirika ya kimataifa." Dikrii hiyo inasisitiza hatua za kulipiza kisasi dhidi ya nchi ambazo zimetajwa kuwa 'zisizo za kirafiki'. Kwa mujibu wa amri hiyo Russia itaziwekea vikwazo baadhi ya nchi na taasisi za kimataifa.
-
Mivutano inayoongezeka katika uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel
May 03, 2022 22:03Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika kipindi kipya na cha wasiwasi na mivutano baada ya kuanza mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kuwa pamoja na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.
-
Russia yawakatia gesi Wapoland, sarafu za Euro na Pound ya Uingereza zaporomoka
Apr 27, 2022 22:19Sarafu za Euro na Pound ya Uingereza zimeporomoka thamani yake baada ya Russia kuamua kuzikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria kutokana na kufuata kwao kibubusa siasa za Magharibi.
-
Putin ailaumu CIA kwa kuchoche kuuliwa waandishi wa habari wa Russia
Apr 26, 2022 03:02Rais Vladimir Putin wa Russia amelilaumu shirika la kijasusi la Marekani CIA kwa kuwachochea wanajeshi wa Ukraine kuwaua waandishi wa habari wa Russia.
-
Russia: Madai kuwa Iran imetuletea silaha ni uongo na ni propaganda za Wamagharibi
Apr 24, 2022 08:20Ubalozi wa Russia mjini Tehran umesema kuwa, uvumi ulioenezwa kwamba Iran imeipelekea silaha Russia ili izitumie katika vita vya Ukraine, ni uongo na ni propaganda tu za madola ya Magharibi.
-
Russia yawawekea vikwazo Makamu wa Rais wa Marekani, Mkuu wa Meta
Apr 22, 2022 22:09Serikali ya Russia imetangaza kuwawekea vikwazo makumi ya shakhsia wa Marekani akiwemo Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Kamala Harris na Afisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Meta (Facebook) Mark Zuckerberg.