Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia yakosoa juhudi za Magharibi za kurefusha vita vya Ukraine

    Russia yakosoa juhudi za Magharibi za kurefusha vita vya Ukraine

    Apr 21, 2022 04:41

    Waziri wa Ulinzi wa Russia, Sergei Shoigu amesema kwamba Marekani na nchi nyingine za Magharibi zimefanya jitihada kubwa za kurefusha muda wa operesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine.

  • Kukosolewa unafiki wa Marekani kuhusu suala la haki za binadamu

    Kukosolewa unafiki wa Marekani kuhusu suala la haki za binadamu

    Apr 20, 2022 22:20

    Ilhan Omar, mbunge wa Kiislamu katika Congress ya Marekani amesema kuwa madai yanayotolewa na utawala wa Wadhington kuhusu haki za binadamu duniani ni ya kinafiki, na kusisitiza kuwa kama nchi hiyo inataka kuishtaka Russia katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusiana na tuhuma zinazotolewa dhidi yake kuhusu vita vya Ukraine, inapasa kwanza yenyewe ijiunge na kuwa mwanachama wa mahakama hiyo.

  • Russia yawapatia wanajeshi wa Ukraine makataa mapya ili kujisalimisha huko Mariupol

    Russia yawapatia wanajeshi wa Ukraine makataa mapya ili kujisalimisha huko Mariupol

    Apr 20, 2022 22:19

    Russia imewapatia makaa mapya wanajeshi wa Ukraine ambao bado wapo katika mji wa kistratejia wa bandari wa Mariupol huko Kusini mwa Ukraine; huku Moscow ikiendeleza mashambulizi yake upande wa Mashariki mwa nchi hiyo.

  • Russia yatahadharisha juu ya uwezekano wa kupigana na Nato

    Russia yatahadharisha juu ya uwezekano wa kupigana na Nato

    Apr 17, 2022 21:59

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetahadharisha juu ya uwezekano wa kujiri mapigano ya muda mrefu baina ya nchi hiyo na Shirika Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) katika katika eneo la Ncha ya Kaskazini.

  • Russia yaonya itaweka silaha za nyuklia Baltic iwapo Sweden na Finland zitajiunga na NATO

    Russia yaonya itaweka silaha za nyuklia Baltic iwapo Sweden na Finland zitajiunga na NATO

    Apr 16, 2022 21:50

    Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia ameonya kuwa, iwapo Finland na Sweden zitajiunga na muungano wa kijeshi wa NATO, basi Russia itazitambua nchi hizo mbili kuwa maadui.

  • Russia yaishutumuu Israel kwa kuigeuza Ghaza kuwa jela kubwa ya wazi duniani

    Russia yaishutumuu Israel kwa kuigeuza Ghaza kuwa jela kubwa ya wazi duniani

    Apr 16, 2022 02:48

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imeushutumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuligeuza eneo la Ghaza huko Palestina kuwa jela kubwa ya wazi duniani.

  • Russia: Hakuna Mwafrika anayepigana kwa niaba ya Moscow nchini Ukraine

    Russia: Hakuna Mwafrika anayepigana kwa niaba ya Moscow nchini Ukraine

    Apr 14, 2022 23:33

    Balozi wa Russia nchini Kenya amekadhibisha madai kuwa Moscow imekodisha mamluki wa Kiafrika kwenda kupigana kwa niaba yake nchini Ukraine.

  • Mfumko wa bei za bidhaa Marekani umesababishwa na vikwazo dhidi ya Russia

    Mfumko wa bei za bidhaa Marekani umesababishwa na vikwazo dhidi ya Russia

    Apr 14, 2022 23:30

    Gazeti la Washington Post limeripoti kuwa, vikwazo vya Washington dhidi ya Russia vimekuwa chachu ya kushadidisha mfumko wa bei za bidhaa unaoshuhudiwa nchini Marekani.

  • Lavrov: Lengo la operesheni maalumu ya Russia nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani

    Lavrov: Lengo la operesheni maalumu ya Russia nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani

    Apr 12, 2022 03:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema lengo la operesheni maalumu ya Moscow nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani.

  • Khatibzadeh: Marekani bado haijaonyesha nia ya kufikia makubaliano

    Khatibzadeh: Marekani bado haijaonyesha nia ya kufikia makubaliano

    Apr 11, 2022 03:48

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa, Marekani bado haijaonyesha nia ya kutosha ya kufikia makubaliano katika mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea huko Vienna nchini Austria na kuongeza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiathiriwi na kampeni za vyombo vya habari na matamshi yanayokinzana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS