-
Konashenkov: Russia imeangamiza mfumo wa makombora wa S-300 wa Ukraine
Apr 11, 2022 03:14Igor Konashenkov Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa, makombora ya nchi hiyo yamevunjilia mbali mfumo wa makombora wa S-300 wa Ukraine katika maeneo mawili.
-
Umoja wa Ulaya wachochea vita Ukraine: Mchezo wa Brussels kwenye uwanja wa Washington
Apr 11, 2022 00:32Huku akisema kuwa mvutano kati ya Ukraine na Russia utamalizikia tu katika medani ya vita, Joseph Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa wito wa kutatuliwa kijeshi mzozo uliopo kati ya pande hizo.
-
Russia yalipiza kisasi, yawafukuza wanadiplomasia 45 wa Poland
Apr 09, 2022 02:36Wizara ya Mambo ya Nje wa Russia imetangaza kuwa imewafukuza wanadiplomasia 45 wa Polanda waliokuweko nchini humo ikiwa ni majibu ya hatua kama hiyo iliyochukuliwa na nchi za Magharibi dhidi yake.
-
Russia: Kusimamishwa uanachama wa Moscow HRC kunaonesha ubeberu wa Marekani
Apr 08, 2022 03:49Naibu mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa anasema kuwa upigaji kura wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kusimamisha uanachama wa Russia katika Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa unaonyesha juhudi za Marekani kudumisha msimamo wake wa kibeberu.
-
Serikali ya Brazil yakosoa vikwazo vya kiuchumi vya Magharibi dhidi ya Russia
Apr 07, 2022 22:15Wizara ya Mambo ya Nje ya Brazil imekosoa vikwazo vya kiuchumi vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia.
-
Sisitizo la Putin la kutazamwa upya siasa za kuuzwa nje bidhaa za chakula za Russia
Apr 06, 2022 21:26Katika hotuba aliyotoa siku ya Jumanne, Rais Vladimir Putin wa Russia amelaani mashinikizo yanayotolewa na nchi za Ulaya dhidi ya shirika la Gazprom, ambalo husafirisha gesi ya nchi hiyo kwenda Ulaya, na kutishia kuchukua hatua za kulipiza kisasi.
-
Vikwazo vya dhahiri vya Magharibi dhidi ya Russia na ushirikiano mkubwa rasmi nyuma ya pazia
Apr 05, 2022 04:12Nchi za Ulaya zimetangaza vikwazo vya kila namna dhidi ya Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine lakini nchi hizo hizo za Magharibi zenyewe zinarejea mlango wa nyuma na kuvunja vikwazo vyao zenyewe. Awali nchi za Ulaya zilipinga vikali kununua mafuta na gesi ya Russia kwa sarafu ya Ruble lakini hivi sasa zimelegeza misimamo hata katika suala hilo nalo.
-
Wajerumani, Wacyprus na Wagiriki waandamana kuinga mkono Russia
Apr 05, 2022 03:42Wananchi wa Ujerumani, Cyprus na Ugiriki wamefanya maandamano wakiiunga mkono Russia na kupinga hatua zilizochukuliwa na madola ya Magharibi na vikwazo vyao dhidi ya nchi hiyo.
-
Russia: Marekani imekiuka mkataba wa silaha za kibaolojia
Apr 04, 2022 21:51Naibu mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, Dmitry Polyansky, ameuambia mkutano wa waandishi wa habari mjini New York kwamba shughuli za kijeshi za kibaolojia za Marekani nchini Ukraine zinakiuka Mkataba wa Silaha za Kibaolojia.
-
Safari ya Lavrov nchini India na sisitizo la kutumiwa sarafu ya Ruble katika biashara
Apr 03, 2022 02:33Sergey Viktorovich Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amefanya ziara ya siku mbili ya kuitembelea kikazi India na kuonana na waziri mwenzake wa nchi hiyo Subrah Jaishankar na waziri mkuu wa India Narendra Modi.