Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia yafichua mengi kuhusu nafasi ya mtoto wa Biden katika utengenezaji wa silaha za kibaolojia Ukraine

    Russia yafichua mengi kuhusu nafasi ya mtoto wa Biden katika utengenezaji wa silaha za kibaolojia Ukraine

    Apr 01, 2022 22:02

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa nyaraka zilizopatikana kutoka kwenye barua pepe za mtoto wa Rais wa Marekani zinaonyesha kwamba alikuwa na nafasi muhimu katika utengenezaji wa silaha za kibiolojia nchini Ukraine.

  • Mazungumzo ya Istanbul na sisitizo la uanachama wa Ukraine katika Umoja wa Ulaya

    Mazungumzo ya Istanbul na sisitizo la uanachama wa Ukraine katika Umoja wa Ulaya

    Mar 30, 2022 21:58

    Duru mpya ya mazungumzo kati ya wajumbe wa Russia na Ukraine ilifanyika mjini Istanbul, Uturuki siku ya Jumanne iliyopita. Baada ya mazungumzo na Russia, mkuu wa ujumbe wa Ukraine, David Arakhamia, alisema kuwa hakuna mtu anayeweza kuizuia Ukraine kujiunga na Umoja wa Ulaya.

  • Mkuu wa Benki ya Maendeleo Afrika: Vita vya Ukraine vinaweza kusababisha mgogoro wa chakula Afrika

    Mkuu wa Benki ya Maendeleo Afrika: Vita vya Ukraine vinaweza kusababisha mgogoro wa chakula Afrika

    Mar 29, 2022 22:30

    Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) ambayo ni mkopeshaji mkubwa barani humo anafanya kila awezalo kuzuia bara la Afrika lisikabiliwa na mgogoro wa chakula kutokana na athari mbaya za vita vya Rusia na Ukraine.

  • China yaikosoa Magharibi kwa sera za kindumakuwili kuhusu haki za binadamu

    China yaikosoa Magharibi kwa sera za kindumakuwili kuhusu haki za binadamu

    Mar 29, 2022 22:29

    China imezishutumu nchi za Magharibi kwa kutumia sera za kindumakuwili kwa kushughulikia kwa wakati haki za binadamu za watu wanaokimbia vita vya Russia na Ukraine na kupuuza haki za wakimbizi kutoka nchi za Mashariki ya Kati, Afrika na Amerika ya Kusini.

  • Russia: Ukraine imegeuzwa kimbilio la magaidi na mamluki wa kimataifa

    Russia: Ukraine imegeuzwa kimbilio la magaidi na mamluki wa kimataifa

    Mar 27, 2022 06:01

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imeashiria kufanikiwa malengo ya operesheni ya kijeshi ya nchi hiyo nchini Ukraine kwa asilimia kubwa na kufichua kuwa, maelfu ya magaidi na mamluki wa nchi ajinabi wamekimbilia katika nchi hiyo ya Ulaya mashariki.

  • Kremlin: Biden hana uwezo na mamlaka ya kuamua nani Rais wa Russia

    Kremlin: Biden hana uwezo na mamlaka ya kuamua nani Rais wa Russia

    Mar 27, 2022 03:26

    Ikulu ya Russia ya Kremlin imejibu bwabwaja na matamshi ya kijuba ya Rais Joe Biden wa Marekani aliyedai kuwa Rais Vladimir Putin wa Russia hatosalia madarakani.

  • Russia: Marekani itoe maelezo kuhusu nafasi ya mtoto wa Biden katika maabara za silaha za kibaolojia huko Ukraine

    Russia: Marekani itoe maelezo kuhusu nafasi ya mtoto wa Biden katika maabara za silaha za kibaolojia huko Ukraine

    Mar 25, 2022 22:34

    Russia imetaka ipewe maelezo kutoka kwa Marekani kuhusu jukumu la mtoto wa Rais Joe Biden wa nchi hiyo katika maabara za kibaolojia nchini Ukraine.

  • Kikao cha wakuu wa NATO na kung'ang'ania msimamo wa kiuadui dhidi ya Russia

    Kikao cha wakuu wa NATO na kung'ang'ania msimamo wa kiuadui dhidi ya Russia

    Mar 25, 2022 21:52

    Kikao cha dharura cha wakuu wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO kilifanyika juzi Alkhamisi mjini Brussels, Ubelgiji ambayo ndio makao makuu ya Umoja wa Ulaya. Katika siku za hivi karibuni, Brussels imekuwa mwenyeji wa vikao vitatu ambavyo ni cha wakuu wa NATO, cha G7 na cha Umoja wa Ulaya.

  • Vita vya Ukraine na mgogoro wa chakula duniani

    Vita vya Ukraine na mgogoro wa chakula duniani

    Mar 24, 2022 21:57

    Zaidi ya nchi 40 zimetia saini barua ya kutaka kuitishwe mkutano wa dharura wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) ili kukabiliana na mgogoro wa chakula, ambao huenda ukazidishwa na vita vya Ukraine.

  • Lavrov awashutumu Wamagharibi kwa kutoshughuliswa na wananchi wa Ukraine

    Lavrov awashutumu Wamagharibi kwa kutoshughuliswa na wananchi wa Ukraine

    Mar 23, 2022 23:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amezishutumu Marekani na Umoja wa Ulaya kwa kutoshughulishwa na wananchi wa Ukraine na wala mambo yaliyopelekea kutokea vita nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS